Nimeota Uhuru kaanguka vibaya

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Sijui kama ni kweli lakini Uhuru kashindwa vibaya uchaguzi wa tarehe 8 ndio nimeota hivyo.

Uhuru ukiunganisha na kauli zake na matukio ndani ya Kenya ni wazi kuwa ndoto yangu ni kweli.

Tusuburi muda utakuwa msema kweli ingawa Mimi binafsi ningependa Uhuru ashinde uchaguzi huu ni mhimu sana .
 
.. tusubiri muda ndio utaamua...ila jamaa atakuwa na ushindani mkali wakati huu...yaani this time it is 50/50...ila yeyote akishinda ni sawa tu...mi nataka kwanza watoe KDF Somalia..nilikuwa na support Kenyatta ila baada ya kusikia kuwa NASA watawatoa KDF Somalia wakishinda, naenda na NASA....KDF wanafaa waje walinde border ya Kenya na Somalia badala ya kuuwawa kule kama siafu....
 

Bado hamjiamini tu hata baada ya Musando kuwa haiko kwa keyboard?!
 
Hahaaaaaa rudiii ulale uitetena
 
Kura za wakikuyu plus wasomali zote zake

Ndugu kweli upo ndotoni tena hakuna uchaguzi mraisi kama wa Kenya kila kitu kinajulikana
 
Kila la heri, naheshimu maamuzi yenu Wakenya, ni maombi yangu mmalize salama na mbaki wamoja after election..Uhuru akishinda kutakuwa na uhusiano mbaya sana Tz. Binafsi ninamkubali lkn maamuzi yenu ni bora kuliko utashi wangu
 
uhuru namkubali kuliko huyo Odinga. Sidhani na sitegemei kama Odinga tashinda.
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Kila la heri, naheshimu maamuzi yenu Wakenya, ni maombi yangu mmalize salama na mbaki wamoja after election..Uhuru akishinda kutakuwa na uhusiano mbaya sana Tz. Binafsi ninamkubali lkn maamuzi yenu ni bora kuliko utashi wangu
 
 
Uhuru lazima atatangazwa mshindi hata kama kura nyingi zitaenda kwa Raila.Wakikuyu ni mafia na mafyonzo hawatakubali mluo awe rais,vinginevyo watakinukisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…