PostGE2025 Nimeota Viongozi wa Vyombo wakijiuzulu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
D

DeletedMember281674

Guest
Leo tarehe 02 December nimeota Viongozi watatu wakijiuzulu nyadhifa zao

Pili, kuhusu utekaji na mauaji hili nimeota halitatolewa maelezo. Maana yake Hana taarifa kuhusiana na hilo, hajui kama watu wanatekwa na kuuwawa pamoja na nepotism, ufisadi na kujilimbikizia Mali pia haya hayafahamu
 
Mkuu 'Kino', sikujuwa kuwa nawe kuna nyakati huwa unakuwa na ndoto mbaya kiasi hiki!

Hao wakuu wakijiuzulu inawasaidia kitu gani waTanzania?

Kwa nini bado hujaota Samia Suluhu Hassan akijiuzulu. Kuna ndoto nzuri kuizidi hiyo kweli?
 
Labda vyombo vya kupikiaa lkn sio hawa viongozi majeuri wa Tnza

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Leo tarehe 02 December nimeota Viongozi watatu wakijiuzulu nyadhifa zao

Pili, kuhusu utekaji na mauaji hili nimeota halitatolewa maelezo. Maana yake Hana taarifa kuhusiana na hilo, hajui kama watu wanatekwa na kuuwawa pamoja na nepotism, ufisadi na kujilimbikizia Mali pia haya hayafahamu
Mzee wa mindoto ya hovyo... unajaza seva kwa mindoto yako ya uongo
 
Leo tarehe 02 December nimeota Viongozi watatu wakijiuzulu nyadhifa zao

Pili, kuhusu utekaji na mauaji hili nimeota halitatolewa maelezo. Maana yake Hana taarifa kuhusiana na hilo, hajui kama watu wanatekwa na kuuwawa pamoja na nepotism, ufisadi na kujilimbikizia Mali pia haya hayafahamu
bonyeza nyota kupata vichekesho zaidi
 
Continue dreaming.. Wangekuwa ni wakujiuzuru wangeshafanya hivyo tangu awali.
 
Leo tarehe 02 December nimeota Viongozi watatu wakijiuzulu nyadhifa zao

Pili, kuhusu utekaji na mauaji hili nimeota halitatolewa maelezo. Maana yake Hana taarifa kuhusiana na hilo, hajui kama watu wanatekwa na kuuwawa pamoja na nepotism, ufisadi na kujilimbikizia Mali pia haya hayafahamu
Hivi vyombo mbona mnataka kuvingushia zigo , ambalo mwenye zigo anajulikana, mfano leo hao wakuu wa vyombo aakijiudhuru inasaidia nini, hao si ni kama matawi tu ,acheni uhuni wa kuzunguka mbuyu
 
Back
Top Bottom