D
Mkuu 'Kino', sikujuwa kuwa nawe kuna nyakati huwa unakuwa na ndoto mbaya kiasi hiki!Leo tarehe 02 December nimeota Viongozi watatu wakijiuzulu nyadhifa zao
Pili, kuhusu utekaji na mauaji hili nimeota halitatolewa maelezo. Maana yake Hana taarifa kuhusiana na hilo, hajui kama watu wanatekwa na kuuwawa pamoja na nepotism, ufisadi na kujilimbikizia Mali pia haya hayafahamu
Na wabunge fekiSamia tu ndo tunamtaka…
Mzee wa mindoto ya hovyo... unajaza seva kwa mindoto yako ya uongoLeo tarehe 02 December nimeota Viongozi watatu wakijiuzulu nyadhifa zao
Pili, kuhusu utekaji na mauaji hili nimeota halitatolewa maelezo. Maana yake Hana taarifa kuhusiana na hilo, hajui kama watu wanatekwa na kuuwawa pamoja na nepotism, ufisadi na kujilimbikizia Mali pia haya hayafahamu
bonyeza nyota kupata vichekesho zaidiLeo tarehe 02 December nimeota Viongozi watatu wakijiuzulu nyadhifa zao
Pili, kuhusu utekaji na mauaji hili nimeota halitatolewa maelezo. Maana yake Hana taarifa kuhusiana na hilo, hajui kama watu wanatekwa na kuuwawa pamoja na nepotism, ufisadi na kujilimbikizia Mali pia haya hayafahamu
Hivi vyombo mbona mnataka kuvingushia zigo , ambalo mwenye zigo anajulikana, mfano leo hao wakuu wa vyombo aakijiudhuru inasaidia nini, hao si ni kama matawi tu ,acheni uhuni wa kuzunguka mbuyuLeo tarehe 02 December nimeota Viongozi watatu wakijiuzulu nyadhifa zao