Nimeota Yanga kachapwa goli 2 kavu na mwarabu. Natetemeka muda huu

Unaotaje saa nne hii. Tafuta pesa usipate usingizi wa kukimbia njaa ili mradi pakuche haraka

Nimeota Yanga kachapwa goli 2 kavu na mwarabu. Natetemeka muda huu

Nimeota mashabiki wa Yanga wakitoka nje ya uwanja kwa ghadhabu kubwa. Huku Aziz Ki na Dube wakirushiwa kila aina ya lawama.

Ndoto zangu haziongopi.
 
Usitetemeke tu malizia na nyeto kabisa ili ukae sawa
Msilete dhihaka, bado masaa machache mashabiki wa Yanga waanze kutupa mikono na kusema hovyo
 
Nimeota mashabiki wa Yanga wakitoka nje ya uwanja kwa ghadhabu kubwa. Huku Aziz Ki na Dube wakirushiwa kila aina ya lawama.

Ndoto zangu haziongopi. Kama kuna yeyote anataka kubet, aweke mzigo, soon atanishukuru.
Faraja za lala salama.
 
Nimeota mashabiki wa Yanga wakitoka nje ya uwanja kwa ghadhabu kubwa. Huku Aziz Ki na Dube wakirushiwa kila aina ya lawama.

Ndoto zangu haziongopi. Kama kuna yeyote anataka kubet, aweke mzigo, soon atanishukuru.
Kipre Jr
 
Na achapwe tu...
Hivi utopolo wana rekodi yeyeto ya kumfunga mwarabu?
 
Reactions: G4N
Hata kuku wanaota, endelea kuota mama
 
Nimeota mashabiki wa Yanga wakitoka nje ya uwanja kwa ghadhabu kubwa. Huku Aziz Ki na Dube wakirushiwa kila aina ya lawama.

Ndoto zangu haziongopi. Kama kuna yeyote anataka kubet, aweke mzigo, soon atanishukuru.
Na siku ukiota umepata mimba na kuzalishwa watoto mapacha, pia uje utuambie. Na uzuri ndoto zako hazidanganyi! kwa hiyo hakuna sababu ya kutuficha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…