Mkitaka urasi achaneni na yule kilema. Hana akili ameshaanza kubweka bado yupo ughaibuni. Yeye anatumia jukwaa kudai pesa zake akiwadanganya ni mikutano ya kisiasa. Agenda namba moja hadi ya mwisho ni risasi tu.
Tayari wameshaweka speed gavana kwenye TV za local channel, sasa huwezi kuona mfano ITV mpaka uLipie kifurushi. Wanahakikisha TBC tu ndio inaonekana wengi