Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #121
Acha kutuchafuaTuliachana na hizo ajenda baada ya kumkaribisha lowassa kwenye chama. Sasa hivi tuna ajenda ya katiba na umwisenge peke yake. Tunaangalia maslahi ya chama zaidi kuliko wananchi; wananchi nao wapambane na hali zao.