Nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza kukiwasha japo kwa shingo upande

Nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza kukiwasha japo kwa shingo upande

Baadhi ya makamanda walifanya makosa.
Jisemee nafsi yako, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza tubu kisa alishangilia kifo cha Magufuli ila kila siku ni kukazia hukumu kwa Magufuli kama alivyokuwa anakazia hukumu kwa raia wasiokuwa na hatia, mfano. Kadhurumu hela za rambirambi za Wanakagera, kafunga wapinzani bila sababu yoyote ya msingi, kadhulumu uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu 2020, kaweka wabunge 19 bungeni kwa amri yake akishirikiana na fisadi Ndugai, huyo mtu bora alikufa maana madhaifu ni mengi kuliko faida.
 
Nimekushangaa kwanini unaenda mahali kwa shingo upande, kama unaona wana mambo mengi usiyokubaliana nao, kwanini usiwaache uende sehemu nyingine itakayokufaa?

Au tuseme ndio una mahaba kupindukia?!!
Wewe mlamba asali kaa kimya
 
Naelekea Mwanza kwenda kukiwasha.

CCM ni janga la taifa. Limezidi kuwakandamiza watanzania kwa kuendeleza umasikini. Tozo haramu, ufisadi na ubwanyenye.

Nitakiwasha jukwaani uwanja wa furahisha mpaka kieleweke.
Wewe hujawahi kuwa kada wa CDM.
 
Tubuni kwanza dhambi ya kushangilia kifo cha Magufuli
Nani alishangilia kati ya ccm au chadema?
Unayakumbuka yale maneno ya katibu mkuu mstaafu mzee Yusuph Makamba kwamba wazuri hawafi?
Unajua alikuwa akimaanisha nini?
 
Chadema tangu mliposhangilia kifo cha Magufuli..
..

Umma uliwaelewa rangi zenu!

Bila kutubu,bado mtahangaika sana!......

Endeleeni kukomaza Shingo ila majibu mtayaona kule site..
 
Nimekushangaa kwanini unaenda mahali kwa shingo upande, kama unaona wana mambo mengi usiyokubaliana nao, kwanini usiwaache uende sehemu nyingine itakayokufaa?

Au tuseme ndio una mahaba kupindukia?!!
Mlamba asali
 
Back
Top Bottom