Nimepanda public transport kwa mara ya kwanza nikamuona mtu akiperuzi JamiiForums

There is a reason for the seasons
Misdemeanor to treason
Meaning meaner to cheesin'
I 've got all the attire
Rapid fire to quiet
From here to Blantyre, call me sire
One man Halmashauri, Alpha Centauri
Proximity, vicinity of equanimity
Dah mwanakwetu ukikutana na huyu kijana wako Intelligent businessman mkizungumza hiyo lugha mie hoi ,nafurahi ni
Dah mwanakwetu .
Haya maneno unafanyaje yanakaa kichwani aisee
 
Sawaa, tunazungumzia huko mtaani bado unaotumia mbele za watu bila kuificha?

Muwe mnatutonya tusigongane na hao mabibi kupigwa ni kugusa tu😅
Ndio natumia popote bila kificho, sasa niogope nini?

Bibi yako wala hayupo sana humu, anaingia kwa machale!

Unagombana na mtu kisa nini, mbona sioni cha kugombana hapo!!
 
Ndio natumia popote bila kificho, sasa niogope nini?
Duhh sijawahi kukutana na mtumiahi live😁
Bibi yako wala hayupo sana humu, anaingia kwa machale!
Ohh msalimie, mwambie ule mpango wetu vipi sasa ulimshirikisha?
Unagombana na mtu kisa nini, mbona sioni cha kugombana hapo!!
Kupigwa ndizi🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️😂
 
Baada ya kutoka German kuja kusalimu wazee Tanzania nikiwa nimepanda public transport kwa mara ya kwanza nikamuona mwana-jf akiperuzi.

Nilimuangalia nikatafakari sana.

Huyu atakuwa nani?
nilishindwa kupata majibu ya haraka.
Kwa hiyo?
 
Sijawahi kuona mtu yoyote akitumia jf. Hata watu wa kwenye cycle yangu kila ninaemuuliza anasema hatumii. Mademu ndio hawaijui kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…