Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Ulifanya kosa kubwa kumuangalia tu.
Ungemsogelea ukamnong'oneza, "Mkuu ID yako ya siri imevuja, watu wa usalama wanakutafuta"
Ungeona daladala nzima inavyozizima kwa yeye kutaka kuruka dirishani!