Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,932 Apr 14, 2026 #141 Ulifanya kosa kubwa kumuangalia tu. Ungemsogelea ukamnong'oneza, "Mkuu ID yako ya siri imevuja, watu wa usalama wanakutafuta" Ungeona daladala nzima inavyozizima kwa yeye kutaka kuruka dirishani!
Ulifanya kosa kubwa kumuangalia tu. Ungemsogelea ukamnong'oneza, "Mkuu ID yako ya siri imevuja, watu wa usalama wanakutafuta" Ungeona daladala nzima inavyozizima kwa yeye kutaka kuruka dirishani!
Ubungo Mataa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2018 Posts 547 Reaction score 993 Apr 14, 2026 #142 Kipenzi Changu said: Kulikuwa na umuhimu gani kusema umetoka German ikiwa Main Subject ni kuona mwanaJF akiperuse Click to expand... Mtego. Kuna watu baada ya muda watatoa mlio.
Kipenzi Changu said: Kulikuwa na umuhimu gani kusema umetoka German ikiwa Main Subject ni kuona mwanaJF akiperuse Click to expand... Mtego. Kuna watu baada ya muda watatoa mlio.
IIT MWASISI OS JF-Expert Member Joined Jan 26, 2023 Posts 3,737 Reaction score 3,301 Apr 14, 2026 #143 Kumbe n we nilikuona
Izato JF-Expert Member Joined May 15, 2019 Posts 5,441 Reaction score 11,669 Apr 14, 2026 #144 Red black said: Baada ya kutoka German kuja kusalimu wazee Tanzania nikiwa nimepanda public transport kwa mara ya kwanza nikamuona mwana-jf akiperuzi. Nilimuangalia nikatafakari sana. Huyu atakuwa nani? nilishindwa kupata majibu ya haraka. Click to expand... Mkuu, umepanda "public transport" kwa mara ya kwanza ukiwa hapa Bongo ama hata huko Ujerumani katika maisha yako yote?
Red black said: Baada ya kutoka German kuja kusalimu wazee Tanzania nikiwa nimepanda public transport kwa mara ya kwanza nikamuona mwana-jf akiperuzi. Nilimuangalia nikatafakari sana. Huyu atakuwa nani? nilishindwa kupata majibu ya haraka. Click to expand... Mkuu, umepanda "public transport" kwa mara ya kwanza ukiwa hapa Bongo ama hata huko Ujerumani katika maisha yako yote?
D duvet Senior Member Joined Sep 12, 2024 Posts 112 Reaction score 131 Jul 2, 2026 #145 yan member wengi wanachati kwa kificho san