goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,149
Don't destroy someone because once someone destroyed you.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu si ungeweka ile ya kunasaWakuu nipeni maujanja kuna fisi anatafuna mali yangu.
Sasa sikukuu hii ya wazinzi leo nataka nimfunze mtu.
Kuna wengine wakifumania wanaishia kuzimia sa sijajua huyu mkuu kajiandaaje.Ukisha mfumania unamaamuzi kweli au ?
Upo wapi nikusaidie mkuuWakuu nipeni maujanja kuna fisi anatafuna mali yangu.
Sasa sikukuu hii ya wazinzi leo nataka nimfunze mtu.
Mkuu usisahau kutembea na kilainishi maana nyama ya fisi ngumu kweli.Wakuu nipeni maujanja kuna fisi anatafuna mali yangu.
Sasa sikukuu hii ya wazinzi leo nataka nimfunze mtu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji601] [emoji600]Hakikisha una silaha ya kujihami,unaweza kuliwa wewe na mali yako.
huyu atakuwa kajipanga kisaikolojiaKuna wengine wakifumania wanaishia kuzimia sa sijajua huyu mkuu kajiandaaje.
Mhmm asije akaanza Julia tu.Ukisha mfumania unamaamuzi kweli au ?
No brainWakuu nipeni maujanja kuna fisi anatafuna mali yangu.
Sasa sikukuu hii ya wazinzi leo nataka nimfunze mtu.