Nimepanga kufumania mtu leo,..

Nimepanga kufumania mtu leo,..

ukimfumania mtishie kama unamla 0712 paka KY halaf mwache usimfanye chochote... lazima akuletee zawadi baadae!!!
 
kaz njema bt kumbuka kuwah me nlichelewa nkakuta ndom moja imetumika chin mkuu
 
pia km una uhakka wa kufanya maamuz ndo ufumamie co unafumania uwezo wa kuacha huna utajiumiza tu mkuu
 
Wakuu nipeni maujanja kuna fisi anatafuna mali yangu.

Sasa sikukuu hii ya wazinzi leo nataka nimfunze mtu.
Mkuu usisahau kutembea na kilainishi maana nyama ya fisi ngumu kweli.
 
afu wa hivi, kibao kikigeuka, huwa wanalia kama mbweha!
 
Dah..Achana naye... Kupanga fumanizi maana yake guns feelings naye.. Unafumania leo..... Kesho inatolewa pakiti ya sembe ghetto kwako na polisi... Ukiwa Lupango yeye atakuwa anagongesha kama hana akili nzuri.... [emoji13] [emoji13]
 
Mbona wako wengi sanaa, jipende usitake kutolewa ngeo bure kisa mwanamke uliambiwa wapo hukuambiwa yupo,Be a man....
 
Kama ni mwanamke wako fumania Kwa Nia ya kumuacha

Maana huyo ni Malaya

Kufuri linalofunguliwa na funguo nyingi halifai hata sample mlangoni
 
Back
Top Bottom