zahiri ulaya
Member
- Nov 29, 2015
- 58
- 30
Mpe wote ndo tutajua uko serious.nimepanga kumkabidhi mke wangu nusu ya mshahara wangu kwa sababu najijua.
Atakuwa anakupa yeye kidogo kidogo.inayobaki ni kwa natumizi binafsi.
Hongera sananimepanga kumkabidhi mke wangu nusu ya mshahara wangu kwa sababu najijua.
Saafinimepanga kumkabidhi mke wangu nusu ya mshahara wangu kwa sababu najijua.
tatizo sio kila mtu ana mshahara wa milioni, ni kwamba wenye mishahara ya milioni ndio wenye guts za kuongea, hawalalamikagi kuchunwa wanajua ni wajibu wa mwanamke kutafuna kiasi cha pesa zake. we unaona haki mfanyakazi wa ndani unamlipa ila mamsapu hali hata shilingi yako? tuache unyanyasaji.Jf bhana kila mtu ana mshahara zaidi ya milioni...hivi mnafanyaga kazi gani wenzangu nyie?....
Aiseeee......[emoji15] [emoji15]1.5 nipo vizuri usilete dharau[emoji41] [emoji41]
Hapa kisu kime gusa kwenye mfupa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Pale dawa ikishaanza fanya kazi.
Ukimpa mkeo atakuja kutumia na mimi.
Kwahiyo, unataka kutuambia kwamba kwakumpa 400 elfu mkeo, hapo una amini kwamba sio mfujaji!?mkuu huyu mamsapu kwa bajeti nampigia saluti, ukimwachia laki 4 na nusu ya chakula kwa mwezi lazima mwisho wa mwezi hela ibaki, kosea vyote usikosee ukaja kuoa mfujaji.