Sawa mkuuNadhani hukunielewa mwanzo...''KILA MTU JF ANA MSHAHARA MKUBWA''..mimi sikujitoa wala kujibagua...na wala sikusema nina mshahara mkubwa..
sasa jamaa mwenyewe hajielew....huo ni utoto.
Kweli kabisaaMke au mpenzi ukimkabidhi pesa hata kama sio kiasi kikubwa anafurahi sana, anakuwa huru na hata pia anakuwa na mawazo mazuri, anajithamini na hata akiongea mbele za marafiki zake anajiamini
unaweza ukawa unajijua ila hujui nin unataka kufanya nweis nmekupa option tu ya kutoa wote incase haifai u ca stick to your option.mtu ambae hajielewi hajijui, mi najijua, kwa hio najielewa.
Wengine walisha wakabidhi atm card na paswood wewe leo ndo unamjaribu!ufujaji wangu upo wapi? mke wangu nataka nimsapraiz, simwambii kwenye simu
Duh!basi hata mungu nae hakumpenda ayubu kwa kua alimruhusu shetani amjaribu.
Safi sana kwa hilo lazima atoke tu apate tu mwalimu mzuri wakumfundisha ufugaji. Nimependa hiyo idea na kila lakherihahah, mkuu mbona unataka niexpose kila kitu kuhusu mamsapu. anataka afuge kuku wa nyama yupo kwenye maandalizi.