Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

Mke au mpenzi ukimkabidhi pesa hata kama sio kiasi kikubwa anafurahi sana, anakuwa huru na hata pia anakuwa na mawazo mazuri, anajithamini na hata akiongea mbele za marafiki zake anajiamini
 
mtu ambae hajielewi hajijui, mi najijua, kwa hio najielewa.
unaweza ukawa unajijua ila hujui nin unataka kufanya nweis nmekupa option tu ya kutoa wote incase haifai u ca stick to your option.
 
hahah, mkuu mbona unataka niexpose kila kitu kuhusu mamsapu. anataka afuge kuku wa nyama yupo kwenye maandalizi.
Safi sana kwa hilo lazima atoke tu apate tu mwalimu mzuri wakumfundisha ufugaji. Nimependa hiyo idea na kila lakheri
 
Back
Top Bottom