Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

Sa huku umeleta taarifa ili iweje! Wenzako wanawapa wake zao mshahara wote afu we nusu ndo umeona taarifa ya kuleta jf! Umeniacha hoi!
 
Kuna wanawake wana akili ya maendeleo sana tu, kama unamwamini mpe tu usiogope. Maana maendeleo ni ya kwenu nyote.
 
Hizi pumba usituulize sisi,kawaulize shemeji zako.Hahaha[emoji23] [emoji23]
 
nimepanga kumkabidhi mke wangu nusu ya mshahara wangu kwa sababu najijua.
Mwambie awe anakupa nauli ya basi au akujazie mafuta ya wiki wiki kwenye gari (kama mnayo). Asisahau na pesa ya lunch kazini
 
Back
Top Bottom