Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala siyo kwa avatar ila nakujua,naishi tu hapa jirani na wewe!Kwa avatar hii fake [emoji134] [emoji134]
Hahahh umenifananisha jirani iyo wapiWala siyo kwa avatar ila nakujua,tunaishi tu hapa jirani!
Naogopa kutaja hapa wale akina fulani ambao wameshakusumbua sana kule pm wasije wakaizunguka nyumba yenu nikakukosa bure!Hahahh umenifananisha jirani iyo wapi
Umenifananisha mm hanijui mtu yeyoteNaogopa kutaja hapa wale akina fulani ambao wameshakusumbua sana kule pm wasije wakaizunguka nyumba yenu nikakukosa bure!
Nitupie picha yako hapa ili ujue kuwa nakujua?Umenifananisha mm hanijui mtu yeyote
Mhhh pagumu hapoMpe wote ukiwa na shida atakupa
Nmelipenda jibu lako kaka Safi Sana Ni vema ujue mke ulienae [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] kwa stly iyo hutayumbishwasijaoa mzinzi.
Mwambie awe anakupa nauli ya basi au akujazie mafuta ya wiki wiki kwenye gari (kama mnayo). Asisahau na pesa ya lunch kazininimepanga kumkabidhi mke wangu nusu ya mshahara wangu kwa sababu najijua.