Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

kwa namna ninavyomhendo kuchepuka kwake ni ngumu.
Dah....Tema mate chini kisha ondoa kauli yako.....kuna watu walisema hivyo hivyo na sasa hivi ni machizi kabisaaaa[emoji4]
 
Dah...siyo suala kujiamini wewe chief....ni suala la nafsi nyingine....tofauti ya muaminifu na asiye muaminifu ni kwamba mmoja ameishadakwa na mwingine ni mtarajiwa....[emoji4]
 
Back
Top Bottom