Nimepanga kwenda kuishi Msituni/Porini sana

malizia uzi wako kule
 
c dhani kama maza kafunga kabisa milango ya uteuzi
 
Sera ya kujiajili inatakiwa kuhamasisha fursa kama hizi na kutoa mikopo. hii itasaidia kukuza uchumi na kuongeza mzunguko wa pesa. Ukisafiri na gari ndani ya US utaona jinsi watu wanavyoishi mashambani. Tanzania kuna mapori mengi tu bila shughuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…