Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante MkuuHayo ndio maisha ya ukweli mzee, unaambiwa kiishia katika miji ambayo tayari imesha jenga na kuendelezwa basi unaishi katika mipangi ya wengine , lakini kwa style yako mzee ulimwengu ni wako a utafurahia uumbali wa mungu ki halisia kabisa
Asante MkuuNakutakia kila la kheri mkuu
Labda ataishi kama wale wastaafu wa special ops kwenye Hollywood moviesUtakufa mapema sana mzee,usalama porini ni mdogo sana
Mkuu maisha niliyochagua yananipa furaha, Watu wengi wanapendaga kwenda shamba uzeeni, Mimi nimechagua kutangulia mtanikuta shambaHizo ni stress za kukutana na uliopiga nao kitabu mjini wapo levo nyingine. Sasa hiyo kitaalamu inaitwa kujicoumoflage kwa kukaa na nyani ambao hawatakuuliza “Sasa hivi upo wapi” kila ukipishana nao
Mkuu uko vzr sanaMkuu tupe hata picha basi, pia husisaha mbwa 3 na paka 3 kama wakuu walivyo kuelekeza
Jitahidi ujiconnect na hilo eneo lako lote, hata mtu akikanyaga kakijiti mzee umesikia
Hongera kwa bwawa mzee you can fish at mid night with no clothe on and no body will ask you why
Nina wivu mtakatifu juu yako, ni good life hilo naona utaishi maisha kama ya wale jamaa wa texasMkuu uko vzr sana
😁 😁 😁Hongera..
Mimi mambo ya kukaa peke yangu peke yangu bila kuzungukwa na watu siwezi kabisa..ntakuwa najiona kama nipo kwenye horror movie.
Ubarikiwe Mkuu kwa ushauriUna skills gani?
Hand to hand combat?
Unatumia siraha kama kisu au glock 19 9mm? [emoji848][emoji16]
Husikose ile gongo la baseball, upate lenyewe lile linakua gumu sana
Ukiwa nayo kama matatu mzee uweke sehemu tofauti ndani ya nyumba au visu pia visambaze sehemu tofauti, hivi ni visu vya matukio sio vya jikoni
Naongea hivi nikiwazia utakua na nyumba kubwa ulisema utajenga hapo baadae na nashauri kwa vile upo porini iwe na mbao mbao pia sio tofari mwanzo mwisho
Security cameras zihusike
Set perimeter pia mtu akiwa kwenye eneo flani ndanu ya eneo langu lazima ujue maybe 30-50 meter around your house
MUHIMU SANA
Kumbe tupo wengi mkuuYou are typically me
Hahahhaha ! Alimalizana na berries...zilivamiwa sanaYuko Moro analima strawberries
Mbele ya ifakara...sijui ndo kilosa? Kuzuri ajabu kama jina lenyewe..imagine nilienda august kiangazi nikakuta greenishkipo wilaya gani?