Nimepanga kwenda kuishi Msituni/Porini sana

Mkuu upo vizir, kimsingi unatakiwa huwe imejipanga vya kutosha
Unapoenda kuisha msituni means unajitenga na hadhira ya watu

Kila la kheri i wish kuna siku tukuwa majirani huko msituni chief
 
Ndugu kukaa porini alafu ukawa huna pesa ya kukuwezesha kufanya utakacho kwa wakati ni kutafuta kuzeeka bure,,km unakipato kizur hata kijij kizima waweza ishi peke yako,,,nakushauri kama unaweza kufanya mechanized investment nenda kama huna uwezo usiende maana huo mwili wako ndo utakuwa trekta,chainsaw na utakuwa weeder yaan dawa ya kuangamiza magugu at the end kama una miaka 40 utaonekana una 60+
 
Hata ndio maisha nataka kuishi
 
Mkuu naomba location y Hilo eneo moro
 

Da'Vinci njoo umione mate wetu
 
Mkuu vp? Tunaomba kupata mrejesho wa maisha yako ya porini/msituni; na pia tukipata na picha ya namna halisi maisha yako kwasasa yalivyo huko msituni Njombe itapendeza zaidi kiongozi. Hata mim8 natamani sana kuja kutaishi maisha haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…