Poleni na majukumu ya mwisho wa mwaka wadau.
Niseme tu nimezunguka maeneo mengi sana ya starehe hapa DSM mengine ya kistaarabu na mengine ya kishenzi ila sijawahi fika beach kidimbwi.
Kwanini Beach Kidimbwi?
1. Salim Kikeke akiwa likizo alitembelea beach kidimbwi na akapiga picha na AY.
2. Nilisikia pia kuhusu beach kidimbwi kwenye wimbo wa msanii Roma na Stamina-Corona.
Sasa nimetamani nikatembelee hilo eneo nione kinachojiri. Hivyo naomba kujua yafuatayo:
1. Location yake
2. Je, kuna hotel ya kulala au fukwe tu?
3. Gharama za vinywaji na chakula ikoje au ndio maji kubwa 7,000/=
4. Je, naweza kwenda na familia ya mke na mtoto?
5. Kuna mapaka?