Nimepasikia sana Beach Kidimbwi. Kunani huko?

Poleni na majukumu ya mwisho wa mwaka wadau.

Niseme tu nimezunguka maeneo mengi sana ya starehe hapa DSM mengine ya kistaarabu na mengine ya kishenzi ila sijawahi fika beach kidimbwi.

Kwanini Beach Kidimbwi?

1. Salim Kikeke akiwa likizo alitembelea beach kidimbwi na akapiga picha na AY.
2. Nilisikia pia kuhusu beach kidimbwi kwenye wimbo wa msanii Roma na Stamina-Corona.
Sasa nimetamani nikatembelee hilo eneo nione kinachojiri. Hivyo naomba kujua yafuatayo:
1. Location yake
2. Je, kuna hotel ya kulala au fukwe tu?
3. Gharama za vinywaji na chakula ikoje au ndio maji kubwa 7,000/=
4. Je, naweza kwenda na familia ya mke na mtoto?
5. Kuna mapaka?
Watanzania porojo nyingi mtu anauliza swali nyie mnaanza kubwabwaja, jibu swali kama hujui pita hivii
 
Na kuzaliwa kwangu kote na kuishi hapa dsm sipajui na sina interest aisee[emoji23][emoji23]
Huko kila mtu mnajuana ukienda. Sehemu ikishakuaga nyomi kwakweli sipafurahii. Huko pamejaa wanachuo huko sana sana.
Lakini wengine starehe yao ni fujo na kukutana na kila mtu unayejuana naye kama samaki samaki. Hapo wapo binadamu pia wanaojiuza mkuu. PISI KALI hapo ndo nyumbani
 
Binafsi sijapapenda sana,ila kuna totoz za ukweli hasa mida ya jion..kuna malaya pia wanatega mabuzi ya kuchuna kama kawaida.
Location yake ni unaenda mpaka kule mbezi beach ya chini kuna sehemu inaitwa kwa zena unaingia kulia huko ndani.
 
Hupajui, halafu unapaelezea kwa undani!
Punguza uongo wewe, unapajua vizuri!
 
Binafsi sijapapenda sana,ila kuna totoz za ukweli hasa mida ya jion..kuna malaya pia wanatega mabuzi ya kuchuna kama kawaida.
Location yake ni unaenda mpaka kule mbezi beach ya chini kuna sehemu inaitwa kwa zena unaingia kulia huko ndani.
Kuna mtu anabisha hakuna wauzaji eti. Yaan sehemu iwe hot hivyo ikose wauzaji? Masikhara kweli haya. Cha kufahamu si wote wauzaji ila wauzaji wapo tena wasomi wazuri tu kwa mbinu tofauti. Wako naowajua walisoma chuo nilichosoma ndo mitaa yao. Wanahama na upepo panapohit.
 
Na kuzaliwa kwangu kote na kuishi hapa dsm sipajui na sina interest aisee[emoji23][emoji23]
Huko kila mtu mnajuana ukienda. Sehemu ikishakuaga nyomi kwakweli sipafurahii. Huko pamejaa wanachuo huko sana sana.
Lakini wengine starehe yao ni fujo na kukutana na kila mtu unayejuana naye kama samaki samaki. Hapo wapo binadamu pia wanaojiuza mkuu. PISI KALI hapo ndo nyumbani
wewe unapajua na umefika ha ha ha ha
 
Ni pa kawaida sana.
Barabara ya kwenda huko imejaa madimbwi sana. Pia eneo lake ni dogo kuweza kuranda randa. sikushauri kwenda na Familia.

Labda uende Kwa lengo la kunywa kunywa na kusafisha safisha macho na "wasanii" na mademu mademu. Bei ni za kawaida kama sehemu nyingi za Ufukweni.

Namna ya kufika, pita Barabara ya Mbezi chini, ulizia Shoppers Plaza. Barabara ya kuelekea Kidimbwi iko exactly opposite na barabara ya kwenda Shoppers.
 
Poleni na majukumu ya mwisho wa mwaka wadau.

Niseme tu nimezunguka maeneo mengi sana ya starehe hapa DSM mengine ya kistaarabu na mengine ya kishenzi ila sijawahi fika beach kidimbwi.

Kwanini Beach Kidimbwi?

1. Salim Kikeke akiwa likizo alitembelea beach kidimbwi na akapiga picha na AY.
2. Nilisikia pia kuhusu beach kidimbwi kwenye wimbo wa msanii Roma na Stamina-Corona.
Sasa nimetamani nikatembelee hilo eneo nione kinachojiri. Hivyo naomba kujua yafuatayo:
1. Location yake
2. Je, kuna hotel ya kulala au fukwe tu?
3. Gharama za vinywaji na chakula ikoje au ndio maji kubwa 7,000/=
4. Je, naweza kwenda na familia ya mke na mtoto?
5. Kuna mapaka?
mkuu kidimbwi iko mbezi beach ya chini kule kawe round about alafu mbele ukitumia google map utafika nikupe tip za kungoa pini nunua Hennessy basi utazungukwa na watoto wazuri tupu ushindwe wewe tu pia usiende na demu utajilaumu milele manake kuna pini za hatari hujapata kuziona
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom