Nimepasikia sana Beach Kidimbwi. Kunani huko?

ume confirm hiyo ishue ? kuna kitoto kimoja kimeweka na status kabisa kinauliza kilichotokea seems like nae kasikia ila hajui nini kilitokea aisee noma sana
Story za walevi tu kilichotokea ni jamaa kazinguana na demu wake akampulizia pepper spray sasa ushamba ukawapelekea kusema sumu, dhaa!! Safari ni ndefu bado.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Ahahahah kumbe watu wapuuz sana yan kumbe ni pepper spray tu ? aisee sasa sijui sumu nini aaah haya mambo aisee, hii nchi ina washamba wengi sana
 
Story za walevi tu kilichotokea ni jamaa kazinguana na demu wake akampulizia pepper spray sasa ushamba ukawapelekea kusema sumu, dhaa!! Safari ni ndefu bado.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Aaah huyo jamaa wa mamtoni maana pepper spray wanazipenda riot police wa kwa Biden. Wabongo wakaita sumu kumbe pilipili tu[emoji23][emoji23]
 
Inasemekana vibaka waliingia na style ya kupiga spray wateja wakalala. Watu wakasachiwa wazee hao wakasepa
 
Back
Top Bottom