Nimepasikia sana Beach Kidimbwi. Kunani huko?

Nimepasikia sana Beach Kidimbwi. Kunani huko?

Ndo tatizo la mashoga. Mnadhani kila mtu ana utani na ninyi. Mtu amejibu kulingana na anachofahamu wewe kama ungekuwa unafahamu ungeuliza? Dont be that much dumb. The question was open needed answer. If you werent satisfied with the you should just moved on waiting for the what seems to be the right answer. Wewe wa wapi? Unatoa toa tu povu kila sehemu?
Shukrani sana ubarikiwe ila Mungu ndo anajua mimi ni shoga au iron man asante chizi maarifa.
 
bia ni 2500, 3000 au 4000??. nijue naenda na bajeti kiasi gani..
na bei ya local beer vs imported beer!.
 
Bariki
Asante mkuu.

Asante kushukuru, hapa duniani tunaish kwa kuambiana ukweli, kusapotiana na kuelimishana, wanaokwamisha hii dunia ni watu wabinafsi, unaweza kuta mtu anajua kabisa au anaweza kabisa toa msaada ila kwakuwa mbinafsi anaamua kukwepesha au kuongea uwongo ilimradi tu usiipate taarifa iliyo sahihi, ndio mana hata kwene serious mtu anaweka utani
 
Kweli kaka busara ndo kitu muhimu kabisa.
 
Back
Top Bottom