Nimepasikia sana Beach Kidimbwi. Kunani huko?

Nimepasikia sana Beach Kidimbwi. Kunani huko?

Kuna mtu anabisha hakuna wauzaji eti. Yaan sehemu iwe hot hivyo ikose wauzaji? Masikhara kweli haya. Cha kufahamu si wote wauzaji ila wauzaji wapo tena wasomi wazuri tu kwa mbinu tofauti. Wako naowajua walisoma chuo nilichosoma ndo mitaa yao. Wanahama na upepo panapohit.

Kama hutajali ntajie jina la chuo ulichosoma
 
Kuna mtu anabisha hakuna wauzaji eti. Yaan sehemu iwe hot hivyo ikose wauzaji? Masikhara kweli haya. Cha kufahamu si wote wauzaji ila wauzaji wapo tena wasomi wazuri tu kwa mbinu tofauti. Wako naowajua walisoma chuo nilichosoma ndo mitaa yao. Wanahama na upepo panapohit.

Kuna nyuzi nyingi humu watu wananishangaza
Wanachuo kujiuza..
Ungekuwa unatusaidia kuwaeleza reality ..
 
Kuna nyuzi nyingi humu watu wananishangaza
Wanachuo kujiuza..
Ungekuwa unatusaidia kuwaeleza reality
Cc @Dr w
Weee... unashangaa hostel mtu anakuja asubuhi anatandaza madola hapo kitandani mpk unaogopa. Anakwambia katoka kwa mzungu. Ile ilikua inawamotivate mpk na wengine washiriki. Inaogopesha sana aisee. Ile kuwekaga sheria za hostel ilisaidia sana maana unakuta chumba watu wanalala mpk 12 wakat ni cha watu wanne tu. Nashindwaga kuelewa shida ni nini. Either ni kutaka waonekane wako vzr financially, tamaa ama dhiki za kwao. Lkn wale walikua wajanja kbs. Sitaki kuwake kwenye kundi la watu wenye shida
 
Poleni na majukumu ya mwisho wa mwaka wadau.

Niseme tu nimezunguka maeneo mengi sana ya starehe hapa DSM mengine ya kistaarabu na mengine ya kishenzi ila sijawahi fika beach kidimbwi.

Kwanini Beach Kidimbwi?

1. Salim Kikeke akiwa likizo alitembelea beach kidimbwi na akapiga picha na AY.
2. Nilisikia pia kuhusu beach kidimbwi kwenye wimbo wa msanii Roma na Stamina-Corona.
Sasa nimetamani nikatembelee hilo eneo nione kinachojiri. Hivyo naomba kujua yafuatayo:
1. Location yake
2. Je, kuna hotel ya kulala au fukwe tu?
3. Gharama za vinywaji na chakula ikoje au ndio maji kubwa 7,000/=
4. Je, naweza kwenda na familia ya mke na mtoto?
5. Kuna mapaka?
UNataka mapaka ya nini?
 
Kapicha tafadhali
Kidimbwi.
EpTNEePUcAEV9AB.jpg
 
Back
Top Bottom