Nimepata a possible chance TBDF je niende?

Nimepata a possible chance TBDF je niende?

Yelawolf49

Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
73
Reaction score
65
Habari, niko curious kwenda jeshi kuna entail nini naskia story kitaa pple scare the living hell out me. Kimazoezi siko vizuri my body iko on the plus side sikuwahi kuwaza kwenda jeshi lakini niko semester ya mwisho chuo nachukua bsc ya computer science.

Im an ophan so inabidi ni mingle na kuomba chances maana soko la ajira we all know liko vipi nikapata hii chance sasa my curiosity ni maisha ya mafunzo yakoje mtu mnene kuna hope za kutoboa? Au nisake other opportunities maana sijawahi hata kwenda jkt sikua drafted.

Anything well be helpful asanteni
 
Habari, niko curious kwenda jeshi kuna entail nini naskia story kitaa pple scare the living hell out me. Kimazoezi siko vizuri my body iko on the plus side sikuwahi kuwaza kwenda jeshi lakini niko semester ya mwisho chuo nachukua bsc ya computer science. Im an ophan so inabidi ni mingle na kuomba chances maana soko la ajira we all know liko vipi nikapata hii chance sasa my curiosity ni maisha ya mafunzo yakoje mtu mnene kuna hope za kutoboa ? au nisake other opportunities maana sijawahi hata kwenda jkt sikua drafted. Anything well be helpful asanteni
Nenda kiongozi, mazoezi ya kijeshi yanafanywa kwa hatua na kwa kufuata utaratibu nadhani hakuna utakachoshindwa kama kweli una nia. Ila nidhamu ndo kila kitu uwapo mafunzoni.
 
Heheh labda uende Jkt la kujitolea maana kozi ya u private imeisha juzi,subiri kibangala kingine mwezi wa kumi huko...ila jkt kujitolea bora umalize chuo tu
 
Heheh labda uende Jkt la kujitolea maana kozi ya u private imeisha juzi,subiri kibangala kingine mwezi wa kumi huko...ila jkt kujitolea bora umalize chuo tu
mzee mirambo tabora kuna kibangala bado kinapigwa nua. kinahitimu mwez wa 10
 
Back
Top Bottom