Nimepata a possible chance TBDF je niende?

Nimepata a possible chance TBDF je niende?

Mzeee sijakuelewa kwakweli! Unawezaje kwenda kuingia TPDF bila kupitia kozi ya JKT au JWTZ coz ya uprivate? Au meandaliwa kibangala maalum cha kwenda ku piga kikozi JKT au JW kwanza nini?
 
navojua mm n kwamba mtu anayebet n yule wa jkt lakn ukishafankiwa tu kuvaa baka baka ukapiga kozi ya tpdf ile ya miez sta hyo ni lazma upate ajira si ndio?
[/QUOTE

JKT haiajiri, ila ukishachaguliwa kwenda jwtz hiyo tayari ni ajira, hapo ni kuomba Mungu umalize kozi zao tu.
 
Mzeee sijakuelewa kwakweli! Unawezaje kwenda kuingia TPDF bila kupitia kozi ya JKT au JWTZ coz ya uprivate? Au meandaliwa kibangala maalum cha kwenda ku piga kikozi JKT au JW kwanza nini?

Huwa kunataaluma zinakua zinahitajika sana jeshini, mfano mwaka jana kama sio juzi kulifanyika recruitment ya vijana kutoka mtaani na wengine waliopo jkt, ila sifa awe na taaluma ya udaktari, ufamasia na kada zingine muhimu za afya.

Hao waliotokea uraiani hawakupitia jkt walienda moja kwa moja jwtz.

So inawezekana safari hii labda jeshi linataka wataalamu wa ICT.
 
Mkuu nakushauri kwa herufi kubwa.

KAMA JESHINI HUJAITWA UKAJIUNGE AU HAKUNA MBUYU WA KUKUPA CONNECTION KULE USIJARIBU KWENDA KWA KIPINDI HIKI HASA UKIZINGATIA KUNA BATCH NYINGI ZIMEAHIDIWA AJIRA LAKINI BADO HAWAJAPEWA.

WALE WALIOAJIRIWA JUZI WASIKUFANYE UWE NA TAMAA UKIAMINI ITAKUWA RAHISI KAMA UNAVYODHANI.. WATU WANAISHIA KUJITOLEA MIAKA TELE NA HAWAAMBULII KITU PIA WAPO WANAOISHIA KUWA WALINZI KAMA SUMA SO

MALIZIA DEGREE YAKO THEN UKIONA MTAA HAUELEWEKI KABISA BHASI NENDA JESHI LAKINI JESHI SIO OPTION SAHIHI YA KUTOKA KIMAISHA KAMA UNAVYODHANI.
Fact
 
Huwa kunataaluma zinakua zinahitajika sana jeshini, mfano mwaka jana kama sio juzi kulifanyika recruitment ya vijana kutoka mtaani na wengine waliopo jkt, ila sifa awe na taaluma ya udaktari, ufamasia na kada zingine muhimu za afya.

Hao waliotokea uraiani hawakupitia jkt walienda moja kwa moja jwtz.

So inawezekana safari hii labda jeshi linataka wataalamu wa ICT.
Aaaaah hapo nmekuelewa,ila daah moja kwa mojaa mpaka ukae sawa umesha nyooka vyakutosha
 
Kweli unaandika uharo huu unataka ukawe mwanajeshi kweli??? Hata kuandika hujui....

Utakwendaje jeshini sasa wewe..sio ajabu hata ule muda wa Uzalendo hutaweza...Yaani hovyo kabisa..Usihangaike utakula tifu mpaka ujue kuandika kwanza.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu mbona povuuu ghaflaaa...!! Maisha magumu aiseee
 
Mzeee sijakuelewa kwakweli! Unawezaje kwenda kuingia TPDF bila kupitia kozi ya JKT au JWTZ coz ya uprivate? Au meandaliwa kibangala maalum cha kwenda ku piga kikozi JKT au JW kwanza nini?
iko lucky inatokeaga for somebody me kuna charii tulikuwa nae mtaani kapata hii chance na hajawai pitia JKT ni Mungu tu akiamua kukufungulia ridhiki i swear chochote kinawezana chief
 
Mkuu nakushauri kwa herufi kubwa.

KAMA JESHINI HUJAITWA UKAJIUNGE AU HAKUNA MBUYU WA KUKUPA CONNECTION KULE USIJARIBU KWENDA KWA KIPINDI HIKI HASA UKIZINGATIA KUNA BATCH NYINGI ZIMEAHIDIWA AJIRA LAKINI BADO HAWAJAPEWA...

Hata mtaani anaweza asitoke kimaisha..
 
Ndo maana mi na jeshi hapana kabisa...jeshini kupanda vyeo ni kujuana sana unaweza baki private miaka minne na degree yako na kozi huendi wakati huo kuna watoto wadogo ni ma captain

Mm nikienda jeshi labda kwa ajili ya sifa za kuvaa baka baka, mtaani.

Ila kipesa , hata kitaa naweza kuzichanga, nikamshinda hata huyo captain
 
Back
Top Bottom