Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,246
- 2,299
Mzee nilipitia kwa mujibu wa sheria ile ya miezi mitatu...ila nilikuwa mbishi sana na kozi sikuifanya vizuri maana mpaka mkuu wa kikosi alikuwa ananitafuta,nalala maporini hukoushawahi kukaa kikosin hata week moja tu?? hyo akili ya ubish watu huwa wanaiachaga getini mzee
kama ulifiikia levo ya kulala maporini basi ww kweli uliiva. mana kiutaratbu n kwamba ww ukilala pori it mean combania nzma inalala njeMzee nilipitia kwa mujibu wa sheria ile ya miezi mitatu...ila nilikuwa mbishi sana na kozi sikuifanya vizuri maana mpaka mkuu wa kikosi alikuwa ananitafuta,nalala maporini huko
Kawaida sana watu wamelala nje kombania nzima kasoro wadada,yani wakikuona wanakulazimisha ukafoleni ili waepuke adhabu maana hatukuwahi kutimia labda siku ya posho tukama ulifiikia levo ya kulala maporini basi ww kweli uliiva. mana kiutaratbu n kwamba ww ukilala pori it mean combania nzma inalala nje
Mwanaume kuchanga changanya kiswanglish kama demu inakera afu unataka ukamanda..Habari, niko curious kwenda jeshi kuna entail nini naskia story kitaa pple scare the living hell out me. Kimazoezi siko vizuri my body iko on the plus side sikuwahi kuwaza kwenda jeshi lakini niko semester ya mwisho chuo nachukua bsc ya computer science. Im an ophan so inabidi ni mingle na kuomba chances maana soko la ajira we all know liko vipi nikapata hii chance sasa my curiosity ni maisha ya mafunzo yakoje mtu mnene kuna hope za kutoboa ? au nisake other opportunities maana sijawahi hata kwenda jkt sikua drafted. Anything well be helpful asanteni
Kuwa na heshima weweJeshini hakuna ishu ni michosho tu na utumwa. Mjeshi hana tofauti na mfungwa ,hakuna uhuru wa kufanya Mambo yako, kuamrishwa kama mtoto Mdogo..
Jeshini ni kwa ajili Ya watu waliokata tamaa na maisha.
Habari, niko curious kwenda jeshi kuna entail nini naskia story kitaa pple scare the living hell out me. Kimazoezi siko vizuri my body iko on the plus side sikuwahi kuwaza kwenda jeshi lakini niko semester ya mwisho chuo nachukua bsc ya computer science. Im an ophan so inabidi ni mingle na kuomba chances maana soko la ajira we all know liko vipi nikapata hii chance sasa my curiosity ni maisha ya mafunzo yakoje mtu mnene kuna hope za kutoboa ? au nisake other opportunities maana sijawahi hata kwenda jkt sikua drafted. Anything well be helpful asanteni
navojua mm n kwamba mtu anayebet n yule wa jkt lakn ukishafankiwa tu kuvaa baka baka ukapiga kozi ya tpdf ile ya miez sta hyo ni lazma upate ajira si ndio?Uandishi wako haunihusu, ila kijana nakushauri kama ni tpdf (jwtz) nenda hautakuja jutia maishayako, na ipo siku utakuja nishukuru hapa.
Ila kama ni JKT kujitolea sikushauri otherwise kama unapenda tu jeshi au upate cheti cha jkt kikusaidie kwenye michongoyako mbeleni uko, maana sikuhizi kuajiriwa ni bahati nasibu otherwise uwe na mbanga wakukushika mkono, kama si hivyo ni kama unaenda kubet maisha tu, miaka ya zamani ndo ajira zilikua nje nje tena tulikua tunachagua kabisa, watu mnasema hatutaki polisi, hatutaki magereza nk sisi ni Kivazi tu.
Ila kama mnaenda JKT kupiga kama refresher then mnaenda TPDF(JWTZ) nenda.
japo hata jwtz nako kama ww n private yaan makaz yote magumu yanakuhusu.....hata nyumba zenu nyie maprivate znakua hadhi ya chin kuliko wale graduate na kuliko wale wa mastersUandishi wako haunihusu, ila kijana nakushauri kama ni tpdf (jwtz) nenda hautakuja jutia maishayako, na ipo siku utakuja nishukuru hapa.
Ila kama ni JKT kujitolea sikushauri otherwise kama unapenda tu jeshi au upate cheti cha jkt kikusaidie kwenye michongoyako mbeleni uko, maana sikuhizi kuajiriwa ni bahati nasibu otherwise uwe na mbanga wakukushika mkono, kama si hivyo ni kama unaenda kubet maisha tu, miaka ya zamani ndo ajira zilikua nje nje tena tulikua tunachagua kabisa, watu mnasema hatutaki polisi, hatutaki magereza nk sisi ni Kivazi tu.
Ila kama mnaenda JKT kupiga kama refresher then mnaenda TPDF(JWTZ) nenda.
Mkuu nakushauri kwa herufi kubwa.Habari, niko curious kwenda jeshi kuna entail nini naskia story kitaa pple scare the living hell out me. Kimazoezi siko vizuri my body iko on the plus side sikuwahi kuwaza kwenda jeshi lakini niko semester ya mwisho chuo nachukua bsc ya computer science. Im an ophan so inabidi ni mingle na kuomba chances maana soko la ajira we all know liko vipi nikapata hii chance sasa my curiosity ni maisha ya mafunzo yakoje mtu mnene kuna hope za kutoboa ? au nisake other opportunities maana sijawahi hata kwenda jkt sikua drafted. Anything well be helpful asanteni
Mkuu nakushauri kwa herufi kubwa.
Lakin jamaa kwenye title amesema ameshapata possible chance ina maana tayari anauhakika wa hyo ajira kwa asilimia zote so muache akahejeke tu huko tpdf then akimaliza aanzaje kula keki ya taifa
Kabisaa kwenye title kasema hivyo ila maelezo naona ni tofauti ndo maana nkamshauri hivyo.. Ila kama amepataa NENDAA MKUU NASEMA WAHII FASTAA NENDA.Lakin jamaa kwenye title amesema ameshapata possible chance ina maana tayari anauhakika wa hyo ajira kwa asilimia zote so muache akahejeke tu huko tpdf then akimaliza aanzaje kula keki ya taifa
Iyo kaluluma ni mitaa ya usagaraNenda chomboni kijana,mambo huwa yanazoeleka hukohuko,usiogope wala nini yaani kuna mapoti ni vipande vya watu ila walitoboa fresh tu