Nimepata a possible chance TBDF je niende?

Mzeee sijakuelewa kwakweli! Unawezaje kwenda kuingia TPDF bila kupitia kozi ya JKT au JWTZ coz ya uprivate? Au meandaliwa kibangala maalum cha kwenda ku piga kikozi JKT au JW kwanza nini?
 
Mzeee sijakuelewa kwakweli! Unawezaje kwenda kuingia TPDF bila kupitia kozi ya JKT au JWTZ coz ya uprivate? Au meandaliwa kibangala maalum cha kwenda ku piga kikozi JKT au JW kwanza nini?

Huwa kunataaluma zinakua zinahitajika sana jeshini, mfano mwaka jana kama sio juzi kulifanyika recruitment ya vijana kutoka mtaani na wengine waliopo jkt, ila sifa awe na taaluma ya udaktari, ufamasia na kada zingine muhimu za afya.

Hao waliotokea uraiani hawakupitia jkt walienda moja kwa moja jwtz.

So inawezekana safari hii labda jeshi linataka wataalamu wa ICT.
 
Fact
 
Aaaaah hapo nmekuelewa,ila daah moja kwa mojaa mpaka ukae sawa umesha nyooka vyakutosha
 
Kweli unaandika uharo huu unataka ukawe mwanajeshi kweli??? Hata kuandika hujui....

Utakwendaje jeshini sasa wewe..sio ajabu hata ule muda wa Uzalendo hutaweza...Yaani hovyo kabisa..Usihangaike utakula tifu mpaka ujue kuandika kwanza.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu mbona povuuu ghaflaaa...!! Maisha magumu aiseee
 
Mzeee sijakuelewa kwakweli! Unawezaje kwenda kuingia TPDF bila kupitia kozi ya JKT au JWTZ coz ya uprivate? Au meandaliwa kibangala maalum cha kwenda ku piga kikozi JKT au JW kwanza nini?
iko lucky inatokeaga for somebody me kuna charii tulikuwa nae mtaani kapata hii chance na hajawai pitia JKT ni Mungu tu akiamua kukufungulia ridhiki i swear chochote kinawezana chief
 
Mkuu nakushauri kwa herufi kubwa.

KAMA JESHINI HUJAITWA UKAJIUNGE AU HAKUNA MBUYU WA KUKUPA CONNECTION KULE USIJARIBU KWENDA KWA KIPINDI HIKI HASA UKIZINGATIA KUNA BATCH NYINGI ZIMEAHIDIWA AJIRA LAKINI BADO HAWAJAPEWA...

Hata mtaani anaweza asitoke kimaisha..
 
Ndo maana mi na jeshi hapana kabisa...jeshini kupanda vyeo ni kujuana sana unaweza baki private miaka minne na degree yako na kozi huendi wakati huo kuna watoto wadogo ni ma captain

Mm nikienda jeshi labda kwa ajili ya sifa za kuvaa baka baka, mtaani.

Ila kipesa , hata kitaa naweza kuzichanga, nikamshinda hata huyo captain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…