Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Ukweli mchungu gharama za maisha ni kubwa kwa sasa na kibaya zaidi ni hizi gharama nyeti za afya ni ghali sana kwa sasa nimejikuta nawaza hivi ningekuwa na Bima si ningeokoa hela ila ndio hivyo sina imenibidi nizame mfukoni kugharamia matubabu.
Roho inaniuma sana kwa hizi gharama ikiwa huna chochote kwa sasa unakufa bila kupata huduma. Hii ni hatari sana kwa maisha yetu wote kwa ujumla huwezi jua kesho utaamkaje, utaamka na hela zako au utaamka ukiwa huna kitu hapo ndio utajua dunia inazunguruka kumbe.