RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Umepewa second chance, next time you won't be so lucky!Ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepewa second chance, next time you won't be so lucky!Ndio
Kabisa RRONDO kikubwa bado napumua mengine ni matokeo tuUmepewa second chance, next time you won't be so lucky!
ili ujue kama unampa pole au 😂Ajali ya bodaboda?
Pole sana mtaalamUkweli mchungu gharama za maisha ni kubwa kwa sasa na kibaya zaidi ni hizi gharama nyeti za afya ni ghali sana kwa sasa nimejikuta nawaza hivi ningekuwa na Bima si ningeokoa hela ila ndio hivyo sina imenibidi nizame mfukoni kugharamia matubabu.
View attachment 3003989
Roho inaniuma sana kwa hizi gharama ikiwa huna chochote kwa sasa unakufa bila kupata huduma. Hii ni hatari sana kwa maisha yetu wote kwa ujumla huwezi jua kesho utaamkaje, utaamka na hela zako au utaamka ukiwa huna kitu hapo ndio utajua dunia inazunguruka kumbe.
Asante sana PAPAA GxPole sana wa nyumbani.
Asante, itmanagerPole sana mtaalam