Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Asante sana ArganPole sana mura
majeraha madogo madog hayo mura kesho nenda JobUkweli mchungu gharama za maisha ni kubwa kwa sasa na kibaya zaidi ni hizi gharama nyeti za afya ni ghali sana kwa sasa nimejikuta nawaza hivi ningekuwa na Bima si ningeokoa hela ila ndio hivyo sina imenibidi nizame mfukoni kugharamia matubabu...
Ajali ya bodaboda?Ukweli mchungu gharama za maisha ni kubwa kwa sasa na kibaya zaidi ni hizi gharama nyeti za afya ni ghali sana kwa sasa nimejikuta nawaza hivi ningekuwa na Bima si ningeokoa hela ila ndio hivyo sina imenibidi nizame mfukoni kugharamia matubabu...
Ni sahihi kabisa maana hapa ningevunjika nisingepata muda huu hapa Mungu ni mwemaCha kushukuru Mungu hukuvunjika kiungo,huo ungekuwa mtihani zaidi
Pole sana
Ushimen, Mbona umeona ngeo tu, hilo ni tukio jingine linajitegemea 😪Mungu akupe nguvu upone haraka na urudi kwenye majukumu yako kama kalambwanda mazee....
Ila una bonge la ngeo moja la panga, limeanzia kwenye goti hadi kwenye ogoko mura..😳
Pole sana tata msani....
Naungana na wewe sema serikali hawajali wananchi huu ndio ukweli kabisaHizi gharama zimesababishwa na uongozi legelege.kiongozi ananunua gari la milioni600 wakati huo pesa za kununua madawa hospitali zinakosekana.kwa mwendo huo lazima matibabu yawe gharama kubwa
Duuh pole Mkuu!Ukweli mchungu gharama za maisha ni kubwa kwa sasa na kibaya zaidi ni hizi gharama nyeti za afya ni ghali sana kwa sasa nimejikuta nawaza hivi ningekuwa na Bima si ningeokoa hela ila ndio hivyo sina imenibidi nizame mfukoni kugharamia matubabu.
View attachment 3003989
Roho inaniuma sana kwa hizi gharama ikiwa huna chochote kwa sasa unakufa bila kupata huduma. Hii ni hatari sana kwa maisha yetu wote kwa ujumla huwezi jua kesho utaamkaje, utaamka na hela zako au utaamka ukiwa huna kitu hapo ndio utajua dunia inazunguruka kumbe.
Asante K11Pole sana Jumanne Mwita kwa madhira hayo.
Vipi chanzo cha ajali ni lile janga kuu liitwalo bodaboda?
Lazima niende pia inabidi mazingira ya zingatiwe huenda majeraha mengine yamo kwa ndani bila kujua hivyo inanibidi kuangalia hali itaendeleaje ikiruhusu ndio nifanye hivyo sihitaji kuwapa shida wengine wakati maumivu ni yangumajeraha madogo madog hayo mura kesho nenda Job
NdioAjali ya bodaboda?
Hilo ndio la kushukuru zaidiPole boss ila shukuru Mungu upo vyedi vyedi
Sawa mkuu, pole sana na Mungu akuponye man....😑Ushimen, Mbona umeona ngeo tu, hilo ni tukio jingine linajitegemea 😪