Nimepata ajira ya mshahara wa milioni 1.2, natafuta mke tuanze maisha

Alafu unataka ulale chini kwanini wakati unayo hela au ndio masharti uliyopewa na mganga wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] akimpata demu mwenye Maisha yake mbona fresh tu naomba niulize we kaka ni hb mie mweusi yani maji ya kunde Ila nna msambwada[emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnategemea moate hela ndio muoe mnashida sana,hela ina kuja vip kwenye suala la kuoa? Wengine wanaingiza 7000 kwa siku na wameoa na wanawatoto kbsa. Kuwa na hela sio kuoa,kuoa ni nafsi yako ikusukume na uamue.hata kabla ya huo mshahara ulikua unapata huduma zote za muhim so hzo huduma unazigawanya mara mbili ww na mkeo fresh tu maisha yanasonga. Ukisubiri upate hela nying ndo uone aisee utachina,vzr kuanza na mwanamke maisha ya chini huku mskishrikiana kutokana na huo mshahara wako kutoka sehem moja kwenda juu zaid. Anaweza kukusaidia mawazo na akasimamia hata genge mwsho mnatoboa,nyie mnaotka kuoa mpka muwe matajiri mnapataga shida sana kwenye ndoa zenu. Oa muanze maisha pamoja na heshima inakuwepo
 
Umenipatia vyote umekosea kumuunga mkono nani sijui... Subiria wengine watakuja
Twende kule kwenye jukwaa letu Maserati,huku naona maruwe ruwe bora tukajadili blimd spot kuliko huku[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
wewe unataka pm.ijae si bure

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume wa kitanzania akipata visenti tu, kinachofata ni mke!
Mbona hiyo 1.2 ni kiduchu sana.


Any way, all the best mkuu!

- KANA -
 
Jamani kama ni pesa nitakuwa nazo, huo mshahara nimetaja chanzo changu kimoja tu cha kipato, siwezi kuanika kila ktu...na ni vizuri nikajionyesha sina ili atakaenipenda anipenda kwa hali zote hasa akijua mimi ni potential au nina future au nina uwezo. Natafuta mwanamke/binti anayeweza kuvumilia maisha ya kujinyima, kuzichanga na kuheshimu pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…