Nimepata ajira ya mshahara wa milioni 1.2, natafuta mke tuanze maisha

Mpe mpe mpe mashauzi apeleke hukooo mke hatafutwi kwa nguvu kama hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepata kazi tu umeanza kuwaza kuishi na mwanamke? Mbona unakaribisha umasikini kwako? Tena unatafuta wa mitandaoni kabisa?

Tulia,andaa maisha yako mwenyewe. Ukiwa vizuri ndio utafute mke.
 
Umepata kazi tu umeanza kuwaza kuishi na mwanamke? Mbona unakaribisha umasikini kwako? Tena unatafuta wa mitandaoni kabisa?

Tulia,andaa maisha yako mwenyewe. Ukiwa vizuri ndio utafute mke.

umeona eh!najijuaga mie mshamba jaman!weng hawajui maana ya mke jaman!ujue uyo utaishi nae had mzeeke aache kbs kurahisisha mambo! km wa kuflirt sawa!ila neno mke pana sana!alafu amesasema ih atasimamia mirad yangu !!!!!!!!hahahahaha huwajui watu wewe anafake hata miaka 4 unajua umeoa mtu kumbe wapii!

sema safi tu oa hao hao walioshindikana tabia tuwe wengi tulie pamojaaaaaaaaaaaaaa!tuhuzunike pamoja tupeane mioyo km hv!kisa cha kulia alone ni nn kwanza !OA!
 
Hongera una nywele nzuri.
 
Angalia mapenzi ya kujaribiana yamepitwa na wakati.siku hizi hakuna mwanamke wa kumlaza kwenye mkeka.utapoteza tu muda.jichange,jijenge huku ukitafuta mke mwema.kulala nae chini sio kigezo cha kukupenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh..!! Mtoa mada umetisha.. umepata kaz unataka mke fasta! Ila unaeza kuwa na nia njema.. angalia mapungufu watu waliyo kuonyesha kwenye tangazo lako halafu yafanyie kazi. Next tym kua humble unapo tafuta mke iwe online au offline! Wish u all the best
 
cocochanel njoo uchangamkie fursa huku.

Eeeeeeeh

Niliona aliporusha tu... hata sikuifungua hadi now uliponiita...

Hainihusu na siisomi... pesa hizo nazo si ndogo au?

Mimi napenda biashara kizaidi... na nina wangu shaaaa
 
Reactions: BAK
Watu wana take home ya 300,000 na wanafamilia yaani mke na watoto.

Acha kutisha watu ndugu, mtoa mada Kasema take home yake ni 1.2m na ana miradi inayomuingizia zaidi ya mara mbili ya huo mshahara, yaani miradi kwa mwezi inamuingizia zaidi ya 2.4m akiplus na huo mshahara si atakuwa anaearn 3.6m kwa mwezi. Ndo atashindwa kuishi na mke?
 
Kwakweli kua uyaone.... 1.2 unaanza kusema unapenda kula vizuri........... unajua kula vizuri wewe au unaongelea wali nazi na harage au njegere?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…