Nimepata au nimepatikana?

Nimepata au nimepatikana?

Wanawake ni watu wabinafsi sana, kuishi tunaishi sote lakini gharama za maisha nigharamie mie how??? Hivi wanawake washawahi jiuliza, ukiachana na sex (ambayo wote tunatamuka) wana mchango gani katika maisha ya ndoa????

Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
Acha kuendekeza uzembe mkuu,
Wee Ni Mwanaume,wajibika pambana umtunze mpenz wako.

Mwanaume Ni aibu kuingia kwenye mahusiano ili kutafuta unafuu wa maisha.

Mwanamke hakuumbwa kula kwa jasho,

Aisee,
Hivi nyie vijana huwa mnafundwa wapi Skuhzi[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana haina ulazima wa kuoa mwanamke mweny kazi

Sisi wanaume ndio kila kitu kwenye familia ukitambua hilo hutoleta uzi kama huu
Mtoa mada inaonekana kaoa ili kupata unafuu wa maisha,

Sasa unafuu unapatikana,
Ndo anagundua kua nafas yake Kama baba wa familia imepokwa.

Sasa nahs kabaki dilema,
Either aendelee kukomaa maisha yawe magumu na heshima iwepo au mwanamke aendele kuinvest na heshima iendele kupotea.

Kwakweli,
situation ya mtoa mada naifeel, Yuko dilema.

Tumsaidie Ni mwenzetu uyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau mwaka 2017 nilifunga ndoa na mpenzi wangu F niliyedumu naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, Nadhani sikufanikiwa kumjua kwa undani kiivyo! Jambo linalonitatiza sana ni ishu ya pesa, mke wangu hawezi kutoa hata 100 kununua chumvi, mambo yote ya chakula, Ada,Kodi ya pango na matumizi yote nagaramia mimi, mke wangu pesa yake anaiweka kwenye investments tu, utasikia kanunua kiwanja, kapanua biashara yake, kaanza ujenzi n.k.

Kinachoniuma mimi pesa yangu yote inaenda kwenye matumizi ya familia na yakwako inaenda kwenye maendeleo ya familia. Sasa kwa marafiki niliowashirikisha situation yangu wengi wananiambia umepata mke mwenye akili ya maisha, wengine wananiambia Nimekwisha!.. Nawasilisha naomba mawazo yenu (Tuepuke matusi na kejeli)

Huna mke hapo kaka....huyo unamlisha mwenzio baadae mambo yake yakiwa fresh unapigwa chini. Sasa mke ata chumbi hatoi kunafaida gani kuwa nae ndani ya nyumba....kama mbususu zinapatikana tuu
 
Hawa wanawake ni watu wa ajabu sana. Sawa imeandikwa mwanaume atakula kwa jasho ila sasa ubinafsi nao unawasumbua wanawake.

Haiwezekani mlilie na kupiga kelele 50/50 kila siku halaf kweny kusaidizana majukumu mnakwepa. Uo ni uhuni na kutafuta huruma ya jamii. Wazee wetu waliyajua haya ndo maana kuna dini zmewaweka katika upande fulani wanawake. Huwezi kusema 50/50 kwenye ajira and yet unapata kipato kizuri huwezi nunua chumvi.

Nachokushauri ndgu. Angalia ivyo vitu ananunua anaandika jina la nan. Tafta mahali alipoandika jina la mtoto wenu ata mmoja. Hapo utapata unafuu. Lakini kama anaandika majina yake tu. Uyo mwanamke n mtu wa ajabu na utakuw UMEPATIKANA!

50/50 bungeni tu???!Lakin kulipa ada n jukumu la baba?!
 
mkuu50/50 umeifikilia kwa jicho la leo aukesho?

vitu vingine havigawanyiki,

imagne na wewe umpokee yf ako kubeba mimba awamu hii.

kua akili sio mwili na muache kulialia mnajipunguzia sifa ya uanaume.
 
Ila mtoa mada hajasema mwanamke wake hachangii CHOCHOTE

Alichosema mwanamke wake Ela Ake anafanyia Mambo makubwa, Mambo madogo kaachiwa yeye.

Vinginevyo tuwe tumemwelewa tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mtoa mada hajasema mwanamke wake hachangii CHOCHOTE

Alichosema mwanamke wake Ela Ake anafanyia Mambo makubwa, Mambo madogo kaachiwa yeye.

Vinginevyo tuwe tumemwelewa tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa. Ila kiuhalisia mambo makubwa huja baada ya mambo madogo kukamilika. Yaani usjue ndani inahitajika chumvi watu wale ila unaenda nunua kiwanja?

Halaf mtoa uzi hajui taarifa anaambiwa. Kuna usalama kwel?
 
mkuu50/50 umeifikilia kwa jicho la leo aukesho?

vitu vingine havigawanyiki,

imagne na wewe umpokee yf ako kubeba mimba awamu hii.

kua akili sio mwili na muache kulialia mnajipunguzia sifa ya uanaume.
Sasa wewe mambo ya kijamii ndo yanaongeleka hapa wew unaleta uumbaji na science. Kwamba Mungu naye atambue 50/50? Kwamba wanawake wajipe mimba?

Izi n global issues kwamba if they're advocating for 50/50 kwenye majukumu. Bas wawe tayari kushughulika. Wew unaleta habari za mimba[emoji16]

Tuwe serious kdgo
 
Sawa. Ila kiuhalisia mambo makubwa huja baada ya mambo madogo kukamilika. Yaani usjue ndani inahitajika chumvi watu wale ila unaenda nunua kiwanja?

Halaf mtoa uzi hajui taarifa anaambiwa. Kuna usalama kwel?
Ndo maana nkasema Kuna mahali mtoa mada anafeli, anaonekana kuzubaa Sana kimaendeleo.

Mwanamke kaepuka kupigizana na kelele ndo maana kapoka madaraka yake liwalo na liwe.[emoji4]

Hii kitu nmeikuta sana kipind flan nlipotembelea Arusha na ROMBO, wanawake wameolewa wanachakarika Sana kufanya maendeleo kivyao vyao.

WANAUME ndo Kwanza hawana hata habar[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana nkasema Kuna mahali mtoa mada anafeli, anaonekana kuzubaa Sana kimaendeleo.

Mwanamke kaepuka kupigizana na kelele ndo maana kapoka madarakani yake liwalo na liwe.[emoji4]

Hii kitu nmeikuta sana kipind flan nlipotembelea Arusha na ROMBO, wanawake wameolewa wanachakarika Sana kufanya maendeleo kivyao vyao.

WANAUME ndo Kwanza hawana hata habar[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tumuulize. Mtoa uzi wew ni kabila gani na wife n kabila gani?
 
Kingine mtoa mada,
Mwanaume hutakiwi kabisa kukaa kuipigia hesabu Ela ya MKE wako.

Kwa Bahat mbaya mm sijaoa MKE mfanyakazi,
ila laiti ningekua na mke mfanyakaz basi ingenisaidia kupunguza mzigo wa request za pesa zinazotoka kwenda ukweni. (Aisee Napasuka balaa uko ukweni)

Vitu vingine vidg vidg najua Ela ya wife ingesolve Moja kwa Moja uko ukweni, pamoja na mahitaji yake binafs madogo madogo.

Sisi Wanaume tuliooa mama wa nyumbani huwa always tunapasuka sio chini ya Mara tatu.
-ukweni,
-kwetu tulikozaliwa,
-kwenye familia yangu.
-hapo ujaongeza na kwenye michepuko,bar n.k

Ila hatulalamiki Wala kuuliza Ela ya wife imefanya nini, Tunapambana tu kiume kutekeleza wajibu wetu.

Kwaiyo mkuu,
Hebu acha kabisa kuipigia hesabu Ela ya mkeo, hujaoa ili kutafuta unafuu wa maisha. UTASABABISHA MIGOGORO

Usitake kugeuza ndoa Kama daraja la kupunguzia makali ya maisha, Tekeleza wajibu wako. Ikishindikana mshirikishe mwenzio mwende pamoja.

Hatma ya familia yako iko katika uchumi wako

Kama Mwanaume Tekeleza wajibu wako ipasavyo,
Achana na tabia ya kumbebesha mdada wa watu majukum ya kiume.

Mwisho wa siku atapungukiwa na nguvu za kike kesho uje Tena hapa kulaumu unanyimwa penzi au mkeo Ni mvivu kitandani, maana unamchosha Sana kiukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume kiume
 
Back
Top Bottom