Nimepata au nimepatikana?

Nimepata au nimepatikana?

Sawa. Ila kiuhalisia mambo makubwa huja baada ya mambo madogo kukamilika. Yaani usjue ndani inahitajika chumvi watu wale ila unaenda nunua kiwanja?

Ila sijaona mahali ambako mtoa mada kalalamika kua Ayo Mambo madogo yanamuelemea.

Apa nnachokiona Kuna mgongano wa kimajukumu, na sio mgongano wa kiuchumi[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanamwambia jamaa atafute pesa hawaoni kwamba kwa ishu kuletwa hapa inamaanisha chanzo cha kipato chake kipo exhausted na hana options.

Tulikubaliana kua mwili mmoja dafuq is happening?
Eti tafuta hela...kunamaana gani ya kuwa na msaidizi?..nini maana ya familia?
 
Acha kuendekeza uzembe mkuu,
Wee Ni Mwanaume,wajibika pambana umtunze mpenz wako.

Mwanaume Ni aibu kuingia kwenye mahusiano ili kutafuta unafuu wa maisha.

Mwanamke hakuumbwa kula kwa jasho,

Aisee,
Hivi nyie vijana huwa mnafundwa wapi Skuhzi[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatusemi tunaingia kwenye mahusiano ili tubebwe na ke lakini ikitokea wana pesa basi ujue hizo pesa we utazisikia kwenye bomba tu ila pesa za me ni za wote halafu hapohapo tunalazimishwa kuwafikisha kileleni, Hee kwani hao wana kazi gani?

Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
 
Kingine mtoa mada,
Mwanaume hutakiwi kabisa kukaa kuipigia hesabu Ela ya MKE wako.

Kwa Bahat mbaya mm sijaoa MKE mfanyakazi,
ila laiti ningekua na mke mfanyakaz basi ingenisaidia kupunguza mzigo wa request za pesa zinazotoka kwenda ukweni. (Aisee Napasuka balaa uko ukweni)

Vitu vingine vidg vidg najua Ela ya wife ingesolve Moja kwa Moja uko ukweni, pamoja na mahitaji yake binafs madogo madogo.

Sisi Wanaume tuliooa mama wa nyumbani huwa always tunapasuka sio chini ya Mara tatu.
-ukweni,
-kwetu tulikozaliwa,
-kwenye familia yangu.
-hapo ujaongeza na kwenye michepuko,bar n.k

Ila hatulalamiki Wala kuuliza Ela ya wife imefanya nini, Tunapambana tu kiume kutekeleza wajibu wetu.

Kwaiyo mkuu,
Hebu acha kabisa kuipigia hesabu Ela ya mkeo, hujaoa ili kutafuta unafuu wa maisha. UTASABABISHA MIGOGORO

Usitake kugeuza ndoa Kama daraja la kupunguzia makali ya maisha, Tekeleza wajibu wako. Ikishindikana mshirikishe mwenzio mwende pamoja.

Hatma ya familia yako iko mikononi mwako

Kama Mwanaume Tekeleza wajibu wako ipasavyo,
Achana na tabia ya kumbebesha mdada wa watu majukum ya kiume.

Mwisho wa siku atapungukiwa na nguvu za kike kesho uje Tena hapa kulaumu unanyimwa penzi au mkeo Ni mvivu kitandani, maana unamchosha Sana kiukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Ona sasa this old school husband...kwa hiyo unalisha ukoo mzima wa mkeo [emoji1]...kitegauchumi
 
Wanawake ni watu wabinafsi sana, kuishi tunaishi sote lakini gharama za maisha nigharamie mie how??? Hivi wanawake washawahi jiuliza, ukiachana na sex (ambayo wote tunatamuka) wana mchango gani katika maisha ya ndoa????

Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
mchango wao ni kuchangia wewe kufa mapema.
 
Hatusemi tunaingia kwenye mahusiano ili tubebwe na ke lakini ikitokea wana pesa basi ujue hizo pesa we utazisikia kwenye bomba tu ila pesa za me ni za wote halafu hapohapo tunalazimishwa kuwafikisha kileleni, Hee kwani hao wana kazi gani?

Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
Ndio hapo sasa, wao wanakazi gani sijui...
 
Ona sasa this old school husband...kwa hiyo unalisha ukoo mzima wa mkeo [emoji1]...kitegauchumi
Akili za kishamba hizo,

Sio unalisha ukoo mzima , WEE NAE UTUMIAGE AKILI BASI[emoji4]

Namaanisha mizinga midogo midog ya shemej zako na wakwe zako unamalizana nayo.

Hivi Nani alikwambia utafirisika ukimnunulia baba mkwe wako suti au mama mkwe wako kitenge Cha waxi wakapendeze wanapotoka out.
Au wee huoni aibu wake zako wakiwa ovyo ovyo?[emoji848]

Hivi mfano shemej yako akipungukiwa poket money au Ada Yuko shule au chuo unaona tabu gani kumuwezesha.
Hivi unategemea mfano ukafariki hao watoto watalelewa na kina Nani Kama sio hao wajomba/mashangaz zake unaoshindwa kuwainua[emoji848]

Hivi ukituma Ela ya sikukuu ukweni wachinje, wale wanywe na kufurahi uko ukweni unapungukiwa nn maishan mwako.
Hivi mkeo unategemea atakua na furaha gani kua kwako sikukuu anakula kuku na mrija, uko kwao kijijini wanakunywa uji na chumvi.[emoji848]

Unajua nyie vijana sometimes hamjuagi kucheza vizur na akili za wake zenu ili kuimarisha ndoa na familia zenu..

Unapowasapot ndugu wa mkeo unatengenezewa ile trust na kuaminiana wee na mwenza wako kua nyie Ni mwili mmoja,
Hata mkeo pia atawapenda ndugu zako.

Sasa wee ukiwa kusapoti kwenu afu mwenzio kwao mapagale wananyeshewa wanaishi maisha magumu, hivi unadhani mwenzio hata kwenye iyo ndoa atakua na amani na furaha gani?
Au unataka aanze kukuhujumu kwenye miradi yako akajenge kwao kwa Nguvu ndo akili itakukaa vizur?

Tatizo lenu nyie vijana wa sikuhizi MNAONA mkishaweza kulala miguu minne ndani ya shuka moja na kuweza kuamka na taulo kiunoni asbuh Basi najiona TAYAR na NINYI MSHAKUA BABA WA FAMILIA.

KWAKWELI,
NASHAURI serikali suala la JANDO LIRUDISHWE,

Hii SIO MILA POTOFU KAMA hao WAZUNGU WANAVOTULAGHAI kila kukicha[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa na mali zinapokuja kati huwa havipikiki kwenye chungu kimoja, ni ndoa chache sana zimesimama.. Kila kitu mnachokitafuta wanandoa utasikia ni vya mke yani mwanaume ukijenga nyumba utasikia atasema hii yangu sio baby na sio yenu, cha msingi mwanaume jitume unachokipata kifanye kwaajili ya kuijenga familia yako na andika kila kitu jina la watoto yeye awe msimamizi
 
Akili za kishamba hizo,

Sio unalisha ukoo mzima , WEE NAE UTUMIAGE AKILI BASI[emoji4]

Namaanisha mizinga midogo midog ya shemej zako na wakwe zako unamalizana nayo.

Hivi Nani alikwambia utafirisika ukimnunulia baba mkwe wako suti au mama mkwe wako kitenge Cha waxi wakapendeze wanapotoka out.
Au wee huoni aibu wake zako wakiwa ovyo ovyo?[emoji848]

Hivi mfano shemej yako akipungukiwa poket money au Ada Yuko shule au chuo unaona tabu gani kumuwezesha.
Hivi unategemea mfano ukafariki hao watoto watalelewa na kina Nani Kama sio hao wajomba/mashangaz zake unaoshindwa kuwainua[emoji848]

Hivi ukituma Ela ya sikukuu ukweni wachinje, wale wanywe na kufurahi uko ukweni unapungukiwa nn maishan mwako.
Hivi mkeo unategemea atakua na furaha gani kua kwako sikukuu anakula kuku na mrija, uko kwao kijijini wanakunywa uji na chumvi.[emoji848]

Unajua nyie vijana sometimes hamjuagi kucheza vizur na akili za wake zenu ili kuimarisha ndoa na familia zenu..

Unapowasapot ndugu wa mkeo unatengenezewa ile trust na kuaminiana wee na mwenza wako kua nyie Ni mwili mmoja,
Hata mkeo pia atawapenda ndugu zako.

Sasa wee ukiwa kusapoti kwenu afu mwenzio kwao mapagale wananyeshewa wanaishi maisha magumu, hivi unadhani mwenzio hata kwenye iyo ndoa atakua na amani na furaha gani?
Au unataka aanze kukuhujumu kwenye miradi yako akajenge kwao kwa Nguvu ndo akili itakukaa vizur?

Tatizo lenu nyie vijana wa sikuhizi MNAONA mkishaweza kulala miguu minne ndani ya shuka moja na kuweza kuamka na taulo kiunoni asbuh Basi najiona TAYAR na NINYI MSHAKUA BABA WA FAMILIA.

KWAKWELI,
NASHAURI serikali suala la JANDO LIRUDISHWE,

Hii SIO MILA POTOFU KAMA hao WAZUNGU WANAVOTULAGHAI kila kukicha[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
U are too wrong broh siyo kwamba wanaume atupendi maendeleo ya mwanamke ila unaangalia hayo maendeleo Yana agenda gani ..

Utajisikiaje ukisikia mkeo kajenga kwao gorofa uku ata akiumwa awezitoa ata shing 100 yamatibabu yake kila kitu anategemea kwako .. ?

Ukimuacha mkeo afanye investment bila msaada wako ni hatari Sana kwa ndoa yenu

Leo atanunua kiwanja kesho atajenga keshokutwa atapata lishkaji atalipangisha kwenye iyo nyumba watoto atawapeleka boarding so what's next ?

Ninaushuuda wa live kabisa sehem niliokua nafanya kazi boss wangu siku moja alirudi nyumban kwake na washkaj alikuta mkewe kaweka party anasherekea ujio wa NDINGA mpya ambayo amenunua Tena gari Kali zaidi ata ya mmewe ..jamaa alijisikia vibaya Sana .. iyo ni dharau kubwa Sana ..

Zaman wazee wetu walikuw wanalima nakuvuna pamoja ila kwenye mauzo mwanaume ndo huongea kauli ya mwisho yanini kifanyike..

Sikuizi wakati mwanaume anaangaika kupambania familia kupeleka watoto shule kulipa bills mbali mbali kusaidia wakwe kutumaela kwa wazazi .. wakatiuo mwanamke Ela yake ana invest .. siku ukiishiwa mke anaanza dharau .. utamfanya nini wakati .. kashajenga kashafungua na biashara kashapata na connections ? ..

Wanaume amkeni mwanamke afanyagi vitu kijinga jinga tu hua ana agenda..
 
Eti tafuta hela...kunamaana gani ya kuwa na msaidizi?..nini maana ya familia?
Hii ndio point yenyewe sasa. Kama mke hasaidii chochote bora niishi mwenyewe tuu nijiliage mbususu za warembo wa chuo
 
Back
Top Bottom