Nimepata bila kuomba, Asante love connect, Asante JF

Na mimi nina miaka 22 (Ndo nipo chuo, sijajenga wala sina gari) Natafuta Mwanamke wa Kudate Nae kama upo Darisalama ni PM
 
Nafurahi sana,nafarijika sana kusikia mwanamke mwenzangu pia members wenzangu wapo happy in love kupitia JF/mitandaoni.

Haya mambo yanawezekana jamani,muhimu ni utakavyojiweka.
Na nasisitiza kama alivyosema mtoa mada usiwe fake,utampata fake
Kila la kheri mama na mwenzi wako.
 
True but the worst is most of us tunaishi maisha fake..... kikubwa ni kujitambua.[emoji4]
What about you?

Are you leading fake lifestyle?

I would rather marry a poor but honest lady than a good looking gyal whose lifestyle is full of drama and lies.
 
So what about you?

Are you leading a fake lifestyle?

I would rather marry a poor but honest lady than a good looking gyal whose lifestyle is full of drama and lies.
My point was the worthy woman to marry ni yule anaejitambua..... Mwanamke akisha jitambua sidhani kama hayo mengine yatakuepo...... Japokua hakuna binadamu aliye kamilika....vingine ni kurekebishana.
 
Sawa upo sahihi kujitambua muhimu

Kila la kheri na mchumba mpya
 
Nafurahi sana,nafarijika sana kusikia mwanamke mwenzangu pia members wenzangu wapo happy in love kupitia JF/mitandaoni.

Haya mambo yanawezekana jamani,muhimu ni utakavyojiweka.
Na nasisitiza kama alivyosema mtoa mada usiwe fake,utampata fake
Kila la kheri mama na mwenzi wako.
Mbona hizo bahati wengine hatuzipati jamani,au mpaka tuwe tunashusha nondo za kufa mtu humu ndani ndio watajipendekeza
 
Natanguliza shukrani kwa Mungu aliempa maarifa mwanzilishi wa hiki kitu kwani bila wao nisingekua hapa.

Japokua sikuweka tangazo la kumtafuta mwenza lakini kwa neema,rehema na mipango ya Mwenyezi Mungu nimempata mwenza kutoka JF.

Am still in shock but it's real.... Sikutegemea,sikufikiria wala sikuwahi kuota kumpata mwenza kutoka mtandaoni....lakini mipango ya Mungu haijulikani, haifahamiki na wala haipingiki.

Msichukulie mzaha jamani JF -love connect inatenda pale usipo tarajia.....unachotakiwa kufanya ni kuamini wako yupo na anakusubiri...distance isiwe kikwazo,wanasema mapenzi upofu so unatakiwa ujitoe macho.,kua mtoto.... Nafikiri kila mmoja anajua tabia za watoto.

Kwa upande wangu nimebarikiwa kumpata mwenza mwenye vigezo zaidi ya nilivyo hitaji ( japokua siku mwambia nahitaji vigezo vya aina gani) lakini Mungu anatenda kwa njia zake....nimekua nikichart nae since 2015 na sikuwahi kuboeka hata siku1.....he is 30 and am 25[emoji106] kwangu mimi iko perfect.

Mipango yote imekamilika na soon kwa mibaraka tulio jaaliwa na Mwenyezi Mungu tutafunga ndoa

Na kwa wadada jamani acheni kulalamika.....wame wapo inategemea na wewe unaishi kwa mazingira yapi, unajiwekaje, fashion zipo urembo upo lakini jitahidi usizidishe....maana hata Biblia inatuasa tuwe na kiasi....ukiwa navyo na usipo kua navyo ishi kawaida.... Maana na sisi wadada tukiwanavyo minato inatuponza.[emoji6]

Mwisho wa yote jamani wadada chondechonde usiishi kwa kuigiza maana utampata wa maigizo....

Asante Mungu,
Asante JF,

Te amo J..
Lo haré sentirse joven para siempre como siempre.

Mashuhuda kama nyie na Wasema Ukweli kama wewe ndio wanaotakiwa.. Mungu Akubariki Ila kuna Kaswali tu kwenye hii sentense..''nimekua nikichart nae since 2015 na sikuwahi kuboeka hata siku1.....he is 30 and am 25
emoji106.png
kwangu mimi iko perfect.''' Kwa hiyo amegugegeda Lini Mkuu
 
Natanguliza shukrani kwa Mungu aliempa maarifa mwanzilishi wa hiki kitu kwani bila wao nisingekua hapa.

Japokua sikuweka tangazo la kumtafuta mwenza lakini kwa neema,rehema na mipango ya Mwenyezi Mungu nimempata mwenza kutoka JF.

Am still in shock but it's real.... Sikutegemea,sikufikiria wala sikuwahi kuota kumpata mwenza kutoka mtandaoni....lakini mipango ya Mungu haijulikani, haifahamiki na wala haipingiki.

Msichukulie mzaha jamani JF -love connect inatenda pale usipo tarajia.....unachotakiwa kufanya ni kuamini wako yupo na anakusubiri...distance isiwe kikwazo,wanasema mapenzi upofu so unatakiwa ujitoe macho.,kua mtoto.... Nafikiri kila mmoja anajua tabia za watoto.

Kwa upande wangu nimebarikiwa kumpata mwenza mwenye vigezo zaidi ya nilivyo hitaji ( japokua siku mwambia nahitaji vigezo vya aina gani) lakini Mungu anatenda kwa njia zake....nimekua nikichart nae since 2015 na sikuwahi kuboeka hata siku1.....he is 30 and am 25[emoji106] kwangu mimi iko perfect.

Mipango yote imekamilika na soon kwa mibaraka tulio jaaliwa na Mwenyezi Mungu tutafunga ndoa

Na kwa wadada jamani acheni kulalamika.....wame wapo inategemea na wewe unaishi kwa mazingira yapi, unajiwekaje, fashion zipo urembo upo lakini jitahidi usizidishe....maana hata Biblia inatuasa tuwe na kiasi....ukiwa navyo na usipo kua navyo ishi kawaida.... Maana na sisi wadada tukiwanavyo minato inatuponza.[emoji6]

Mwisho wa yote jamani wadada chondechonde usiishi kwa kuigiza maana utampata wa maigizo....

Asante Mungu,
Asante JF,

Te amo J..
Lo haré sentirse joven para siempre como siempre.
Mungu awatangulie mfanikishe ndoa yenu!
Mtuombee cc 2liobaki 2pate wake wenye hekima kama ww!!!!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] he is my first and last fiancé[emoji56]
Your first and last?

You should have not be so sure about that.

Remember love grows and love dies. He may love you so much now but he may love again in future. He was not your first and may not be your last.

The truth is everyone is going to hurt you, but if he makes you happy now appreciate him, love him and give him all of you.

Enjoy your new boyfriend sweet lady .

I wish you were mine [emoji4]. Vile nimeshaanza kukupenda. And I say this in a very decent manner [emoji172]
 
Back
Top Bottom