[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kwangu Mimi hiyo miaka tuliotofautiana iko perfect.Mashuhuda kama nyie na Wasema Ukweli kama wewe ndio wanaotakiwa.. Mungu Akubariki Ila kuna Kaswali tu kwenye hii sentense..''nimekua nikichart nae since 2015 na sikuwahi kuboeka hata siku1.....he is 30 and am 25kwangu mimi iko perfect.''' Kwa hiyo amegugegeda Lini Mkuu
Kila la kheri mkuuu ila kadi usinisahauNatanguliza shukrani kwa Mungu aliempa maarifa mwanzilishi wa hiki kitu kwani bila wao nisingekua hapa.
Japokua sikuweka tangazo la kumtafuta mwenza lakini kwa neema,rehema na mipango ya Mwenyezi Mungu nimempata mwenza kutoka JF.
Am still in shock but it's real.... Sikutegemea,sikufikiria wala sikuwahi kuota kumpata mwenza kutoka mtandaoni....lakini mipango ya Mungu haijulikani, haifahamiki na wala haipingiki.
Msichukulie mzaha jamani JF -love connect inatenda pale usipo tarajia.....unachotakiwa kufanya ni kuamini wako yupo na anakusubiri...distance isiwe kikwazo,wanasema mapenzi upofu so unatakiwa ujitoe macho.,kua mtoto.... Nafikiri kila mmoja anajua tabia za watoto.
Kwa upande wangu nimebarikiwa kumpata mwenza mwenye vigezo zaidi ya nilivyo hitaji ( japokua siku mwambia nahitaji vigezo vya aina gani) lakini Mungu anatenda kwa njia zake....nimekua nikichart nae since 2015 na sikuwahi kuboeka hata siku1.....he is 30 and am 25[emoji106] kwangu mimi iko perfect.
Mipango yote imekamilika na soon kwa mibaraka tulio jaaliwa na Mwenyezi Mungu tutafunga ndoa
Na kwa wadada jamani acheni kulalamika.....wame wapo inategemea na wewe unaishi kwa mazingira yapi, unajiwekaje, fashion zipo urembo upo lakini jitahidi usizidishe....maana hata Biblia inatuasa tuwe na kiasi....ukiwa navyo na usipo kua navyo ishi kawaida.... Maana na sisi wadada tukiwanavyo minato inatuponza.[emoji6]
Mwisho wa yote jamani wadada chondechonde usiishi kwa kuigiza maana utampata wa maigizo....
Asante Mungu,
Asante JF,
Te amo J..
Lo haré sentirse joven para siempre como siempre.
Na ww vp ushawahiwa?Kila la kheri mkuu
Ukialikwa naomba niwe nawe[emoji23][emoji23]Hongera sana... Mtukumbukage kwenye sherehe tu
Mama Mdogo unapenda sherehe kweliHongera sana... Mtukumbukage kwenye sherehe tu
Its our time. Let us show them we are in love! [emoji23][emoji23][emoji23]Hongera sana mdada!!! Mungu aendelee kuwaongoza!
Kwan ww umempendea nin the bold kama sio nondo anazoshusha huku bibieKhaaaaaa jamani! Mtoa mada kasema kapata bila kuomba...
Nawe utapata.
[emoji120]Your first and last?
You should have not be so sure about that.
Remember love grows and love dies. He may love you so much now but he may love again in future. He was not your first and may not be your last.
The truth is everyone is going to hurt you, but if he makes you happy now appreciate him, love him and give him all of you.
Enjoy your new boyfriend sweet lady .
I wish you were mine [emoji4]. Vile nimeshaanza kukupenda. And I say this in a very decent manner [emoji172]
Mkuu id fake ukimaanisha mtu ni Me ila anajitambulisha kama Ke and Ke anajitambusha me?Ngoja nitafute kimya kimya na mm.ila ugumu ni pale kwenye Id fake.
Duh unajua kumpa mtu moyo,haya bibie ubarikiwe saanaInachelewa tuu, itafika pale usipotarajia.[emoji6] stay still... Don't loose hope.
Unataka kadi ya mchango au mwaliko?Hongera sana... Mtukumbukage kwenye sherehe tu
Sasa si mimi jamani? Unafikiri ni kila mwanamke anapenda ninavyopenda mimi?Kwan ww umempendea nin the bold kama sio nondo anazoshusha huku bibie
Hilo swali linawakimbiza wanaume wengi,Hongera Mkuu...
Vipi wewe Ulikuwa huombi Helaaa?[emoji23][emoji23]
Mbona umekimbilia single mother?Hongera mkuu hope ni single mama umemnusuru [emoji23]