Haitoshi mkuu kuna barid inachanganya mwez wa sita na sabaArusha & Babati tuna Migorori yetu
MsimsumbueMambo nmependa namba zako dear..
Huku nilipo nqkuombea upate mteja
Huyu sio aunt0754088347
Hatimaye ndoto zangu zinaweza kutimia πππππππ
namuombea apate mteja, maombi hayana umbaliMsimsumbue
Mkuu hii jamii forum kuna watu hovyo sana.."Nobody comes for bussiness in jamii forum " naomba huu usemi uendelezwe.
Kalipost Facebook muda huu. Utapata mteja. Huku labda kama unataka tu post engagement ujibu comment za watu basi
Mmmmh ni nani mkuuHuyu sio aunt
MjasiriamaliMmmmh ni nani mkuu
weka namba za huyo mteja aliekublock hapa nikurudishie nusu hasara ....... alafu unaposema utalala njaa kwani unategemea hela ya blanketi faida ndio ule au????Mteja ALINIGIZA hii blanket alitaka nimfanyie delivery,nikaenda kariakoo kununua nikaanza safari kumpelekea,nafika nichukue cm nimpgie nimwambie nimefika ananiambia basi mume wangu atanunua mliman city,na KANIBLOCK juu
Sasa jamani nauza naomba kuludsha hela niliyonunulia tu,nauza 40,000
Hili ni blanket soft/laini kwaajili ya kujifunika.
Namba zangu hizi nipo dar mbezi ya kimara
0754088347View attachment 2983192
Unatumia mkuu kama ukiwa na chumba ambacho akina kashi kashi nyingi ππππdar blanket mnatumia wakati gani? miaka yangu yote 30 plus sijawahi tumia blanket dar na sidhani kama itatokea. nyie mnatumia wapi?
Yaani bado sijakupata .Mjasiriamali
hamna bwana. mi nadhani ukishakuwa na AC huweiz hitaji blanket hasa kwa DarUnatumia mkuu kama ukiwa na chumba ambacho akina kashi kashi nyingi ππππ
mimi nipo kigamboni kuna muda unalazimika kutumia blanketi maana nimepanda miti mingi nje na jirani zangu nao wana miti kiufupi kuna msimu unalazimika kufukia blanketi lilipo....dar blanket mnatumia wakati gani? miaka yangu yote 30 plus sijawahi tumia blanket dar na sidhani kama itatokea. nyie mnatumia wapi?
Mybe ila kuna kipindi unatumia ila yale light sio heavy sana....hamna bwana. mi nadhani ukishakuwa na AC huweiz hitaji blanket hasa kwa Dar