Nimepata changamoto, mteja alinigiza hii blanket alafu kaniblock, nauza ili niludishe hela yangu nitalala njaa

Pole sana tajiri, uwinga kuna muda ni shida sana bora hata ulitoa hela yako mfukoni ingekuwa ndio umeazima mahali ingekuwa shida kubwa zaidi.
 
Wewe ni dalali kumbe, nilijua mnakuaganna stoo zenu
 
Sisi humu ukanda wa baridi linatufaa sana , sema sasa imekuwa ghafla โ—
 
Kila mtu na mwili wake. Mimi nina blanket ambazo sio nzito sana kuna wakati nazitumia hapa hapa dar. Hata kipindi cha joto lazima nijifunike shuka.

Nikienda sehemu kama arusha hua navaa koti kama kuna barafu. Siku nikienda ulaya nitabeba na heater shingoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ