#COVID19 Nimepata Chanjo ya Corona nchini Marekani, puuzeni uzushi

Kureact kwa mwili kwassbabu ya chajo kwa baadhi ya watu ni kawaida.
Kuna sehem tumechanja na mwenzangu yeye imereact mimi kawaida kabisa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kureact kwa mwili kwassbabu ya chajo kwa baadhi ya watu ni kawaida.
Kuna sehem tumechanja na mwenzangu yeye imereact mimi kawaida kabisa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app

Mkuu vipi hutaki kujua kitakacho kuja kuwakuta wanao au wajukuu zako .. kumbuka hii ni experimental vaccine inacheza na vinasaba.. effect yake sio ya papo kwa papo .. longterm effect haijulikani.... isije Kuwa kama mambo ya hiroshima baada ya kupigwa atomic bomb watoto wanaozaliwa wana birth defect
 
Hizo ni story tu zikijumuisha ushindani wa biashara kwa makampuni mengine yanayotaka kuuza chanjo zao.
Hakuna uhakika.
Hii imekuwa ni issue ya kibiashara zaidi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo lazima ndiyo tunasema ni biashara tu
 
Kijana hakuna chanjo ya ugonjwa uliovumbuluwa na Mwanasiasa wa CCM unaoitwa Changamoto ya kupumua) ila chanjo zilizopo zimeshathibitishwa na WHO ni kwa akili Covid19
Sasa wewe ulishawahi kuugua safura utotoni? mbona akili yako imedumaa hivyo
Dogo we elewa tu kwamba hizo chanjo bado zipo kwenye majaribio hilo halina ubishi hata WHO wanajua hivyo sasa sijui wewe unabisha hapa.
 
Kunatofauti kati ya bongo na USA me sizani kama tunaweza pata uliyopata wewe kama S.A wachina wamekutwa wana pika fake
 
Ego my foot, unanipangia? Sio kila mtu atafanya unavyopenda wewe. Subiri serikali wakujibu kwanini hawaleti ila hata wakileta kama ni hiari sichanji.

Hasira za nini? Tuko hapa kujaribu kuokoa maisha ya Watanzania. Hakuna mtu analazimishwa kupiga chanjo kikubwa ni upatikanaji na Tanzania tatizo hazipo na hatuna habari zinakuja lini. Hatuwezi kusubiri tu bila kufanya maamuzi yeyote. Kukataa vitu bila kuweka suluhisho sio uongozi bora. Kuna wanaofikiria tukikaa bila kufanya chochote hatuta risk hii sio kweli.

Kila mtu atapima risk ya chanjo na kuumwa. Tatizo hata usipo zidiwa hata kuumwa nako kuna risk nyingi sana kuna wengine wamepona korona na kupata matatizo ya moyo, wengine matatizo ya mapafu na wenye magojwa ndiyo kabisa. Kwangu binafsi risk ya corona ilikuwa kubwa sana kuliko risk ya chanjo na baada ya kupima kwa makini nikafanya maamuzi. Tatizo Tanzania wazee wetu wenye miaka 70 wako kwenye hatari kubwa sana bila chanjo na serikali tunacho omba ichague na kufanya chanjo ziwepo kwa wanaotaka hata kama ni kwa kulipia.
 



Tatizo la wataalamu wetu wengine. Je kampuni gani ya madawa amewahi kufanya kazi kuja na hizi list. Dawa tunazotumia zimetoka kwa hizi kampuni sasa huyu Dr anajua kuliko hao wanaotengeneza dawa ambazo tunatumia kila siku. Hata chanjo tulizonazo kwenye miili yetu karibu watu wote zimetoka kwa hao hao!!. Kwanini asingefanya walau kisomi na kupinga zile report za hizi chanjo na tafiti ambazo zimejadiliwa na majopo ya wataalamu. Mimi siamini maneno pekee kwenye sayansi unatakiwa kutoa ushahidi
 
Si mbaya endapo muhusika ni yule anaezuia wewe usipate chanjo. Mkiwa vitani mmoja wenu akiwa anasababisha uoga kwenye kikosi chenu ni kheri mumuue ili msonge mbele kwa bashasha.
Pambana na ujinga, usipambane na mtu.

Ukitaka kila unayetofautiana naye apate ugonjwa, unaweza kuiua dunia nzima ukabaki peke yako.
 
Juzi nimeongea na mzee wangu , kapata chanjo moja bado moja, alikuwa aje mwezi huu wa tatu lakini kulingana na hali ya hapa kwetu kasema Hapana. Acha asuburi aone upepo unavyokwenda
 
Mie natamani sana hao wanaokataa chanjo waugue....huu ugonjwa mie naweza kesha siku nzima nikihadithia jinsi unavyotesa... unanyong'onyeza mno kwa muda mrefu nowonder wazee inawaonda mapema sana..ni mateso makali sana
Mamito pole sana,nilifunga na kuomba Siku tatu kwa ajili yako,naona Mungu amejibu maombi hakika umepona.

Huko Kenya tena wamegundua covid 19 third wave linakuja.Mungu atusaidie.
 
Pambana na ujinga, usipambane na mtu.

Ukitaka kila unayetofautiana naye apate ugonjwa, unaweza kuiua dunia nzima ukabaki peke yako.
Kama baba anawztia ujinga watoto mtabaki mkimchekea tu! Haiwezekani mtaiangamiza familia nzima kwa ajili ya mtu mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…