#COVID19 Nimepata Chanjo ya Corona nchini Marekani, puuzeni uzushi

Kama baba anawztia ujinga watoto mtabaki mkimchekea tu! Haiwezekani muiangamize familia nzima kwa ajili ya mtu mmoja.
Ni vizuri umeelezea habari ya baba na watoto, ondoa chanzo cha matatizo utatatua matatizo, hawa wengine ni distractions tu.
 
wajazeni ujinga wengine sisi wengine PASUA KICHWA SANA!
 
Pole sana. Hayo maumivu yanatokana na micro embolism, vipande vidogo vidogo vya damu vilivyoganda kutokana na action ya corona virus. Hata mimi nilipata Corona ila haikunisumbua kwasababu huwa na tabia ya kunywa maji ya vitunguu saumu. Kitunguu saumu huwa kina anticoagulant property (kuzuia damu kuganda) na hivyo kupunguza kabisa kutokea microemboli.

Hii micro embolism ndiyo husababisha kifo cha Corona, kwa kuwa damu inashindwa kwenda sehemu muhimu ambazo zina mishipa myembamba (nanometer), mfano nephron, alveoli, coronary arteries n.k.
 
Mm kitunguu nakimeza kama dawa..je itasaidia..siwez kikitafuna kwakwel
 
Bila picha hii in chai iliyozidi Tangawizi na,malimau.
 
Mm kitunguu nakimeza kama dawa..je itasaidia..siwez kikitafuna kwakwel
Usitafune kitunguu, utaunguza linings za kwenye mdomo.

Unatakiwa usage punje mbili kwa kutumia 'grater' halafu unaweka hiyo 'paste' kwenye glasi ya maji na kunywa. Ukikamulia ndimu kidogo kwenye glasi itaondoa harufu mdomoni.

Pia kabla ya kuweka paste kwenye glasi unaweza kuinusa kwanza ( for 10 minutes), ili kemikali za kitunguu (mostly allicin) ziweze kuingia kwenye mapafu na kwenye bloodstream moja kwa moja. Badala ya kupita kwenye digestive system.

Hii ya kunusa ni effective against virus replication kwasababu allicin huwa inasifa ya ku-dilute fat (making fat soluble) iliyoko kwenye mucus na hivyo kufanya maeneo hayo kuwa unfavorable for replication.
 


Ohh sawa nimekuelewa..shukran
 
Mimi nitachanja hiyo ya J& J hizi safari bila chanjo ni uongo unaweza kudondoka airport za watu au ukauzoa kwenye transit ukaupeleka home hasa wa SA ni kiboko kweli masaa machache tuu umeondoka...
 
Hebu thibitisha watu wa Tanzania waliokufa na Corona, una vithibitisho?
 
You nailed it bro!Siasa hizi!
 
Jana nilienda Wal Mart nikakuta wamweka kikaratasi kinachosema wanatoa chanjo bure, nilishangaa sana. Yaani hii chanjo imekuwa kama ile ya Flu.
 
Yaani nimepata taarifa za watu ninaowajua kabisa wengine majirani zangu huko home Isanga vijana tuu harafu niseme sichanji kisa wapiga mbiu ambao wao wakiugua hizo Oxygen mitungi inakua karibu kumi imemzunguka harafu niwe sawa nao sio kweli...

Yaan maskini tunapukutika balaa naskia hizo mitungi ni gharama
 
Yaan maskini tunapukutika balaa naskia hizo mitungi ni gharama
Oxygen sio gharama sema hatujajiandaa ndio maana chache zilizopo wameweka bei kubwa ili wenye pesa ndefu ndio watibiwe watu weusi ni watu weusi tuu mkuu Dunia ipo kwenye majanga mnahimizana mabarabara badala ya kujali afya kwanza maendeleo baadae...
 
Tumeambiwa wataalamu wetu wanatafiti formula ya chanjo yetu, ila itakuwa miujiza ya dunia tz kugudua chanjo wakat hata formula ya panadol tunatumia ya mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…