#COVID19 Nimepata chanjo ya COVID-19

#COVID19 Nimepata chanjo ya COVID-19

Umeamua kuweka rehani maisha yako sababu ya kusafiri?

Hongera mkuu.
Watanzania wajuaji sana kumbe kichwani hamnazo.
Chanjo zingine ok.
Imefika hatua ya chanjo ya corona wameanza mara eeeh mzungu anataka kutuua
Mkuu,
Siyo unuaji ni ujinga uliopitiliza,haya Matàga simu ,chupi ,vyakula yanauofaa zote zimeyoka kwa wadhungu,kwenye mapaji na pembeni ya mabega Kuna Alana za chanjo,hizo hawailizi.

Mataga yamaulizana eti hii mbona imewahi? Yànashindwa kujua kwa Sasa Dunia imekua ni kitu kimoja,zamani ulitaka kupigwa simu Hadi uende Postal na Simu,Barua ulitaka kuituma Hadi mwezi mmoja ndiyo inafika.
 
Kwema wadau,

Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19.

Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina uhakika na spellings)

Kwanini Johnson & Johnson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana, ivyo ukichukua izo haina nyingine za chanjo lazima uchomwe mara 2 kumaliza dozi. Unachomwa alafu unasubri wiki 2 or 3 ukachomwe tena kumaliza dozi.

Johson & Johson unachomwa mara moja tu umemaliza, ila efficient yake n 66% wakati nyingine ni mpaka 90%.

Lengo kuu la mimi kupata hii chanjo, kwanza ni kupata kile ki-card ili niwe huru kusafiri, tunapoelekea vitahitajika ukiwa una cross boundaries.

Hongera mkuu, so ukipata chanjo, siku unasafili hauendi kupima na kupata certificate ya kupitanayo airport?
 
Mkuu chanjwa tu ili watoto wapate chochote kitu maana hata ukikataa mbeleni huko hutaweza kupata huduma yoyote bila chanjo..na itakulazimu tu kuchanjwa yaani.. SHETANI YUPO KAZINI...
Ujue Mungu kakupa utashi wa 99% kuchagua baya au zuri, ila ukisema 'itakulazimu tu kuchanjwa' kisa shetani yupo kazini unakosea sana tena sana.

Mwenye Imani ataendelea kuwa na Imani, mwenye hofu atazidishiwa hofu, sasa mtu amuamini Mungu au shetani, ambaye umempa heshima hapo?.
 
Mama samia lete hizo chanjo, kila mtu na hiari yake ambae hataki atulie zake na asoyusumbue.

Mimi chaguo langu ni AstraZeneca na ile ya mwafrika mwenzetu/ALGERIA watakayotoa. God bless Algeria🇩🇿🇩🇿🇩🇿
 
Hongera Mkuu. Tembea kifua mbele na kwa afya tele
 
Mkuu,
Siyo unuaji ni ujinga uliopitiliza,haya Matàga simu ,chupi ,vyakula yanauofaa zote zimeyoka kwa wadhungu,kwenye mapaji na pembeni ya mabega Kuna Alana za chanjo,hizo hawailizi.

Mataga yamaulizana eti hii mbona imewahi? Yànashindwa kujua kwa Sasa Dunia imekua ni kitu kimoja,zamani ulitaka kupigwa simu Hadi uende Postal na Simu,Barua ulitaka kuituma Hadi mwezi mmoja ndiyo inafika.
Yaani Magufuli alishaziharibu akili za Watanzania wengi.
 
Kwema wadau,

Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19.

Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina uhakika na spellings)

Kwanini Johnson & Johnson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana, ivyo ukichukua izo haina nyingine za chanjo lazima uchomwe mara 2 kumaliza dozi. Unachomwa alafu unasubri wiki 2 or 3 ukachomwe tena kumaliza dozi.

Johson & Johson unachomwa mara moja tu umemaliza, ila efficient yake n 66% wakati nyingine ni mpaka 90%.

Lengo kuu la mimi kupata hii chanjo, kwanza ni kupata kile ki-card ili niwe huru kusafiri, tunapoelekea vitahitajika ukiwa una cross boundaries.
Kila la kheri,mimi bado bado sana...
 
Uki du nguvu zipo maana mjamaa mmj kabla hajapiga hiyo alikuwa vzr kunako 6*6 lkn tangu adungwe...ngvuu na spidi ipo low sana
 
Dalali lipo kazini kuwalaghai watu wakadungwe machanjo yenye sumu.

Unajifanya eti haujui spellings za chanjo!

Mburula kweli wewe!

Kadungwe wewe na mmeo, achana na watanzania!
Boss mbona ume panic, chanjo si lazima, unaamua wewe...infact sijapatiwa chanjo Tz.
 
Kwema wadau,

Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19.

Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina uhakika na spellings)

Kwanini Johnson & Johnson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana, ivyo ukichukua izo haina nyingine za chanjo lazima uchomwe mara 2 kumaliza dozi. Unachomwa alafu unasubri wiki 2 or 3 ukachomwe tena kumaliza dozi.

Johson & Johson unachomwa mara moja tu umemaliza, ila efficient yake n 66% wakati nyingine ni mpaka 90%.

Lengo kuu la mimi kupata hii chanjo, kwanza ni kupata kile ki-card ili niwe huru kusafiri, tunapoelekea vitahitajika ukiwa una cross boundaries.
Una watoto?
 
Back
Top Bottom