mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Mchawi pesa tu mkuu,,ukiwa na pesa nitakupa connection unapotaka kwenda popote duniani..Bro nifanyeje ili niweze kufika njee ya nchi pls tusaidie na wengine,Tupe mwanga
Watu wa viza wapo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchawi pesa tu mkuu,,ukiwa na pesa nitakupa connection unapotaka kwenda popote duniani..Bro nifanyeje ili niweze kufika njee ya nchi pls tusaidie na wengine,Tupe mwanga
Huwa hawasemi mkuu.Baada ya miezi 2 njoo utuambie mzunguko wako wa hedhi upoje??
Kama sasa bila chanjo gari(dushe) inatembea Kilometers 1 masaa 8 je ukishapata chanjo gari(dushe) itatembea masaa mangapi kwa kilometer 1? Kama sio siku nzima?Ukhanithi unakunyemelea, maana wataalamu wanasema.inaweza kusbabisha ugumba na ukhanithi. Hongera anyway
Nashauri chanjo ingeanza kwa wale wanakamati walioshauri chanjo itolewe, yani kitu kiwe na faida halafu wanakamati wapendekeze wengine ndio wawe vipaumbele kwenye hiyo chanjo, kwanini isianzie kwao?Angalia LIDALALI lingine hili hapa. DALALI la machanjo ya hovyo hovyo!
Hayo majaribio ya chanjo yalifanyika lini na wapi?
Haya ni machanjo ya mwendokasi yasiyokuwa na clinical trials wala usalama wowote!
Rubbish vaccines with no medical standards!
Nyinyi MAGAIDI wa chanjo mnaotaka kuliangamiza taifa tunawaangalia kwa macho matatu!
Hatuwezi kuliua taifa kwa ajili ya MAJIZI wachache wanaopenda kupata pesa za ujanja ujanja kutoka uzunguni.
Mkuu hivyo vikadi tutavipata kkoo.Muda utaongea Kama saini ya Mama unaweza ipata tutashindwa hicho kikadi?Umeamua kuweka rehani maisha yako sababu ya kusafiri?
Hongera mkuu.
Kwema wadau,
Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19.
Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina uhakika na spellings)
Kwanini Johnson & Johnson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana, ivyo ukichukua izo haina nyingine za chanjo lazima uchomwe mara 2 kumaliza dozi. Unachomwa alafu unasubri wiki 2 or 3 ukachomwe tena kumaliza dozi.
Johson & Johson unachomwa mara moja tu umemaliza, ila efficient yake n 66% wakati nyingine ni mpaka 90%.
Lengo kuu la mimi kupata hii chanjo, kwanza ni kupata kile ki-card ili niwe huru kusafiri, tunapoelekea vitahitajika ukiwa una cross boundaries.