Pole. Kwani unajisomesha? Itisha kikao cha familia/ukoo upresent issue yako. Mbona wanachangia send off / harusi/misiba? Elimu si zaidi ya hayo? Wakikataa jiqtagangaze yatima.
Mhhh kujitangaza yatima hali wazazi wote wapo, usifanye hivyo mdogo wangu huu ushauri siyo usijemtenda dhambi Mungu.