Naomben mnisaidie pia mnipe ushauri nifanye nini maana nimepata chuo Sua ada yake ni 1,263,000/= bado vitu vingine chuo kinafunguliwa tarehe 13/10/2014. Nifanye nini mwenye kuguswa na tatizo hili anisaidie japo hata pesa kidogo za matumizi ya chuon. Nijibu nitakupa namba ya Simu.