Nimepata connection ya kwenda kusoma nje ila sasa ninafanya kazi. Naomba ushauri

lelulelu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
444
Reaction score
400
Wakuu nafanyeje, naomba ushauri

Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.

Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.

Je niache kazi niende kusoma huko nje?

Au niache kwenda kusoma niendelee na kazi zetu za mshahara laki tano kwa mwezi?
 
Wakuu nafanyeje,naomba ushauri

Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania,ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.

Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.

Je niache kazi niende kusoma huko nje ?

Au niache kwenda kusoma niendelee na kazi zetu za mshahara laki tano kwa mwezi ?
Huyo jamaa yako anasoma kweli huko ulaya fanya kumtembelea kwanza kabla ya kuacha kazi halafu utajua cha kufanya.
 
Anasoma kaka,kapiga diploma kama mbili hivi anasema huko wewe ukiwa unasoma unalipwavtuu,hivyo anabadili kozi kila mwaka ili qpate pesa zilee na anapiga mishe nuingine za vibarua,aananiambia nikienda huko ntasahau hyo kazi nayoringia,ni uhakika anasoma huko ni mtu wangu sana
 
Nilichokuambia ufanye ndo kitathibitisha unachokisema maana huwezi jua labda huyo jamaa yako yuko ulaya ila saivi hana malinda na ndo anachokuitia hicho.
 
Duhh,,tangu lini uk wakakusomesha na kukulipa mshahara wewe mbongo, tena co wa kitoto m3!!!!! Au una maanisha LIBYA ya Gaddafi mzehe?
 
Haya maelezo ya huyo rafiki yako hayapo kamili yamekaa kiupigaji sikutishi ila nakupa tahadhari unaweza kwenda kutumika huko vibaya na sio kama shule unayotegemea.

Fanya akupe link ufanye admission na upate scholarships baada ya hapo utajua nini cha kufanya, ila kwa haya maelezo uliyotoa hiyo nafasi aliyokuambia imekaa kimichongo.
 
Anasoma kaka,kapiga diploma kama mbili hivi anasema huko wewe ukiwa unasoma unalipwavtuu,hivyo anabadili kozi kila mwaka ili qpate pesa zilee na anapiga mishe nuingine za vibarua,aananiambia nikienda huko ntasahau hyo kazi nayoringia,ni uhakika anasoma huko ni mtu wangu sana
Nchi gani hiyo ?Mimi nikajua umepata ufadhili wa kwenda kusoma.
 
Ukipata likizo kamtbelee kwanza uhakikishe.

Sasa hivi watu unaodhani ni wa karibu yako ni matapeli wakubwa. Hawaoni shida kukupiga nje nje
Sasa kama mtu nasimamia mjengo wake tokea uwanja mimi ndo nanunua na mpaka nyumba imesimama mimi ndio msimamizi,ananipigaje huyu ?
 
Wakuu nafanyeje, naomba ushauri

Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.

Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.

Je niache kazi niende kusoma huko nje?

Au niache kwenda kusoma niendelee na kazi zetu za mshahara laki tano kwa mwezi?
Omba likizo bila malipo ila hakikisha kabla ya hapo uwe umeshapata chuo vinginevyo atakuchuza.
Ikiwezekana uende ukahakikishe kabla hujaomba chochote kazini
 
Naomba nijibiwe swali langu.
Ikitokwa nimepata hiyo nafasi na nikanyimwa ruhusa jee niache kazi au niache hiyo nafasi ?
Mambo mengine niachieni mwenyewe nijibuni swali langu hili
 
Huyo jamaa yako anasoma kweli huko ulaya fanya kumtembelea kwanza kabla ya kuacha kazi halafu utajua cha kufanya.
Mkuu unajibu kitu ambacho hakikuhusu.
Swali langu ni hivi,ikitokea nimepata ruhusa ni sahihi kuacha kazi au niache hiyo nafasi ?
 
Note: unapokwenda kumtembelea ndg hakikisha una nauli ya kurudi kwako/kwenu standby.
 
Nilichokuambia ufanye ndo kitathibitisha unachokisema maana huwezi jua labda huyo jamaa yako yuko ulaya ila saivi hana malinda na ndo anachokuitia hicho.
Jibu swali linalokihusu kaka.
Imwtokea ni kweli hiyo nafasi ipo na nimepata.
Je ni sahihi kuacha kazi nende au niache hiyo nafasi niendelee na kazi ?
Hili ndilo swali nataka majibu hayo mengine sio kazi yako(samahani)
 
Mimi ikitokea nimenyimwa nifanyeje ?

Na hili ndio swali langu mkuu
Wewe haya mambo huwa tunasuka mipango na viongozi wetu wa huku chini hayafiki level za juu km halmashauri kwanza, unasuka dili na mkuu wako wa kazi.
 
Sasa kama mtu nasimamia mjengo wake tokea uwanja mimi ndo nanunua na mpaka nyumba imesimama mimi ndio msimamizi,ananipigaje huyu ?
Ndio maana nimesema ukahakikishe kwanza.

Sasa hivi watu wengi wanauzwa kwa kudanganywa wanaenda kupewa kazi.

Hiyo ndiyo modern human trafficking.
 
Back
Top Bottom