fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Namshangaa anaposema ni ngumu kupata ruhusa. Labda mwenzetu yuko serikali tofauti na hii ya jamhuri tunayoitumikia wengine.Si uombe ruhusa? Ukirudi unaendelea na kazi. Serikalini huwa hawakatazi mtu kwenda kuongeza elimu.