Nimepata connection ya kwenda kusoma nje ila sasa ninafanya kazi. Naomba ushauri

Nimepata connection ya kwenda kusoma nje ila sasa ninafanya kazi. Naomba ushauri

Acha hiyo kazi nenda kasome, Hawa wanaocomment wengi hawana uelewa na haya mambo. Mwambie jamaa akuunganishe nenda kapige shule. Hiyo 3M kwa wazungu ni pesa ndogo Sana. Ila kwa bongo ni kubwa ndio maana wanashangaa tu hapa. Wamezoea kulipwa laki tatu.
Asante kaka kwa ushauri wako huu
 
Achana na hao wahuni mkuu. Ulaya ni sehemu nzuri na salama sana kama umeenda kwa malengo na upo kisheria. Nimekaa Uingereza miaka 5. Tena huko sheria zinakulinda sana, hata unyasi haukugusi.

Ile nchi itafikia viongozi wote + waziri wa nchi watakuwa waisilamu mzehe,
 
Back
Top Bottom